Pre GE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mfumo wa Elimu Tanzania, unawafanya wengi kua na Vyeti ila hawana Maarifa.

Msigwa afaham ( japo sio taaluma yangu) Mwandishi huzingatia sana uchaguzi wa Kichwa Cha habari yake ili kuvutia wasomaji wake.

"machafuko DRC kufunga Barbara nne Dar "... hii humfanya msomaji atamani kujua Kwa namna gan MMachafuko ya DRC yanafunga Barbara za Dar ?.

Ndan yake Sasa ndo utakua maelezo ya Msigwa !!.

Msigwa yeye anataka Mwandishi aandike ' Ujio wa Viongozi wa EAC na SADC kujadili mgogoro DRC kupelekwa Barabara nne kufungwa" ....... Hii imeshaondoa Hamasa ya msomaji kufatilia maana tayari kilichoandikwa Kwa undani, kipo hapo juu.

MSIGWA HANA WELEDI WOWOTE .
Mimi ni field yangu.Kuna ethics za journalism na sheria za uandishi wa habari.
Kama Editor unaweza kuweka a catching headline lakini ni lazima iwe inabeba unachokusudia wasomaji wapate bila kuwa na conclusion zinazoweza kuleta maana nyingine.
Sensational headlines kwenye chombo makini cha habari kinaweza kupoteza umakini wa chombo cha habari kwani msomaji anaposoma headline na conclude bila kupata ushahidi wa alichosoma kwenye habari yenyewe.
Huu mtindo unatumika sana kwenye clip za You Tube ili kupata followers na idadi ya wasomaji na wasikilizaji.
Mwananchi wamevunja sheria na kanuni inabidi waombe radhi.
 
Wakuu,

Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.

Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?

Sasa hapo uchochezi uko wapi Mkuu Gerson Msigwa :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:? Kwani mkutano huu umetoka sababu ya nini? Nna lengo la mkutano huu ni nini? Au wanakutana kwaajili ya kunywa kahawa na kupiga umbea?

Mpaka uchaguzi upite tutaona mengi aisee! Mwananchi imeufyata shwaaaa maana wanajua mna sehemu ya kuwaminyia, wasije wakapigwa kabali nyingine na kuambiwa watafunguliwa mwezi wa 11, 2025.

Mnaenda kuua ubunifu kwenye sekta hii kwa kuwa tu mtu fulani anafikiri kilakitu kikiandikwa anasemwa yeye na utawala wake. Haya ni matokeo ya utawala na viongozi duni kwenye nafasi muhimu na nyeti. Kungekuwa na utawala bora na uwajibikaji msingekuwa mnafanya mambo kwa hisia na kujipendekeza utafikiri hamna chembe ya dignity mliyobaki nayo.

Nimebubujikwa machozi ya huzuni:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:

Pia soma: Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC
kiukweli wamekosea hiyo Headline yao
 
Pengine miongoni mwa div 1 ya point 7 ktk ile shule ambayo kila siku I atoke namba 1 kidato cha 4. Yaani st
 
Kwa staili hii ndiyo maana media nyingi zimeamua kuwa chawa wa serikali Kwa kuogopa maslahi yao kutingishwa
Wakuu,

Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.

Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?

Sasa hapo uchochezi uko wapi Mkuu Gerson Msigwa :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:? Kwani mkutano huu umetoka sababu ya nini? Nna lengo la mkutano huu ni nini? Au wanakutana kwaajili ya kunywa kahawa na kupiga umbea?

Mpaka uchaguzi upite tutaona mengi aisee! Mwananchi imeufyata shwaaaa maana wanajua mna sehemu ya kuwaminyia, wasije wakapigwa kabali nyingine na kuambiwa watafunguliwa mwezi wa 11, 2025.

Mnaenda kuua ubunifu kwenye sekta hii kwa kuwa tu mtu fulani anafikiri kilakitu kikiandikwa anasemwa yeye na utawala wake. Haya ni matokeo ya utawala na viongozi duni kwenye nafasi muhimu na nyeti. Kungekuwa na utawala bora na uwajibikaji msingekuwa mnafanya mambo kwa hisia na kujipendekeza utafikiri hamna chembe ya dignity mliyobaki nayo.

Nimebubujikwa machozi ya huzuni:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:

Pia soma: Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC
 
Wakuu,

Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.

Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?

Sasa hapo uchochezi uko wapi Mkuu Gerson Msigwa :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:? Kwani mkutano huu umetoka sababu ya nini? Nna lengo la mkutano huu ni nini? Au wanakutana kwaajili ya kunywa kahawa na kupiga umbea?

Mpaka uchaguzi upite tutaona mengi aisee! Mwananchi imeufyata shwaaaa maana wanajua mna sehemu ya kuwaminyia, wasije wakapigwa kabali nyingine na kuambiwa watafunguliwa mwezi wa 11, 2025.

Mnaenda kuua ubunifu kwenye sekta hii kwa kuwa tu mtu fulani anafikiri kilakitu kikiandikwa anasemwa yeye na utawala wake. Haya ni matokeo ya utawala na viongozi duni kwenye nafasi muhimu na nyeti. Kungekuwa na utawala bora na uwajibikaji msingekuwa mnafanya mambo kwa hisia na kujipendekeza utafikiri hamna chembe ya dignity mliyobaki nayo.

Nimebubujikwa machozi ya huzuni:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:

Pia soma: Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC
Gazeti la Mwananchi ni adui wa serikali siku nyingi. Ingekuwa Magu hao mbwa wangeshafungiwa na kufukuzwa nchini.
 
Mfumo wa Elimu Tanzania, unawafanya wengi kua na Vyeti ila hawana Maarifa.

Msigwa afaham ( japo sio taaluma yangu) Mwandishi huzingatia sana uchaguzi wa Kichwa Cha habari yake ili kuvutia wasomaji wake.

"machafuko DRC kufunga Barbara nne Dar "... hii humfanya msomaji atamani kujua Kwa namna gan MMachafuko ya DRC yanafunga Barbara za Dar ?.

Ndan yake Sasa ndo utakua maelezo ya Msigwa !!.

Msigwa yeye anataka Mwandishi aandike ' Ujio wa Viongozi wa EAC na SADC kujadili mgogoro DRC kupelekwa Barabara nne kufungwa" ....... Hii imeshaondoa Hamasa ya msomaji kufatilia maana tayari kilichoandikwa Kwa undani, kipo hapo juu.

MSIGWA HANA WELEDI WOWOTE .
Rubbish, Hilo li takataka sahivi halina wasomaji wanalazimisha kuandika uzushi huo ni utapeli
 
Mfumo wa Elimu Tanzania, unawafanya wengi kua na Vyeti ila hawana Maarifa.

Msigwa afaham ( japo sio taaluma yangu) Mwandishi huzingatia sana uchaguzi wa Kichwa Cha habari yake ili kuvutia wasomaji wake.

"machafuko DRC kufunga Barbara nne Dar "... hii humfanya msomaji atamani kujua Kwa namna gan MMachafuko ya DRC yanafunga Barbara za Dar ?.

Ndan yake Sasa ndo utakua maelezo ya Msigwa !!.

Msigwa yeye anataka Mwandishi aandike ' Ujio wa Viongozi wa EAC na SADC kujadili mgogoro DRC kupelekwa Barabara nne kufungwa" ....... Hii imeshaondoa Hamasa ya msomaji kufatilia maana tayari kilichoandikwa Kwa undani, kipo hapo juu.

MSIGWA HANA WELEDI WOWOTE .
We mbwa usitukane mfumo wa elimu yetu, huo mfumo ulioutumia ww umekusaidia nn, bwege kwl.
 
Hizi ni lugha za kuvutia usomaji kwa mtu ambaye yuko informed na bila shaka mtu atakayesoma gazeti atakuwa anafuatilia habari na anajua kuwa wanamaanisha machafuko ya drc yameleta viongozi dar na barabara zitafungwa.
Sahv Kuna mtu anasubiri kupata habari magazetini? Uwongo na uzushi siyo elimu, Wala ushawishi. Huo ni utapeli na uwizi
 
kweli mkuu kwa hili sikupingi..shida ni kwa watawala wetu wengi ni vilaza wenye akili mgando hawajui hilo badala yake wataishia kufungia chombo husika na kukukomoa tu..kwa hivi mwananchi walivyoandika si ajabu kusikia hao mwananchi wamefungiwa..
Uwe mzalendo kwa nchi yako huna nchi nyingine. Usisahau Trump anawarudisha ndg zako maana kule siyo kwao. Hao wakenya hauwajawahi kuwa na jema na nchi yetu. Amkeni kwao huwezi fanya hivyo
 
barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.

Tulipendekeza kabisa bajaj na bodaboda kutoingia maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam iwe marufuku ya kudumu endelevu. Tutazoea na kuona ni jambo la kawaida na pia tutapata njia mbadala kuendelea na shughuli zetu badala la ya sasa mara ni marufuku halafu marufuku hiyo kuondolewa

TOKA MAKTABA:

25 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania :FIRE:

BODABODA NA BAJAJ
MARUFUKU KUINGIA KATIKATI ya JIJI WAGENI wa KIMATAIFA WAKIENDELEA na MKUTANO - SACP JUMANNE MULIRO ZCO AELEZA

View: https://m.youtube.com/watch?v=5gqng4mkyIY

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari 2025 limesema bajaji na bodaboda hazitaruhusiwa kuingia katikati ya jiji katika kipindi cha Mkutano wa Nishati Afrika utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 hadi Januari 28, 2025.

Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya marais 25 na mawaziri 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika.

Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo, Jumamosi Januari 25, 2025, na Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro, imesema kutokana na ugeni huo, barabara hizo zitafungwa kuanzia leo.

Pia Jeshi hilo limesema Barabara tisa jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.
 
We mbwa usitukane mfumo wa elimu yetu, huo mfumo ulioutumia ww umekusaidia nn, bwege kwl.
Halafu wote wanaokandia Elimu ya Nchi yetu wamesoma kwa kupitia mfumo huu huu wa Elimu.
Leo wanajifanya kuponda mfumo uliowaelimisha.
 
Sahv Kuna mtu anasubiri kupata habari magazetini? Uwongo na uzushi siyo elimu, Wala ushawishi. Huo ni utapeli na uwizi
Hata uandishi wa vichwa vya habari mtandaoni vinaandikwa kuvutia watu kusoma. Hiyo ni sanaa kama sanaa nyingine. Kama hujasikia habari na ukakutana na kichwa cha habari cha hivyi utavutiwa kusoma.
Ni sanaa na imekuwa hivyo tangu na tangu
 
Mimi ni field yangu.Kuna ethics za journalism na sheria za uandishi wa habari.
Kama Editor unaweza kuweka a catching headline lakini ni lazima iwe inabeba unachokusudia wasomaji wapate bila kuwa na conclusion zinazoweza kuleta maana nyingine.
Sensational headlines kwenye chombo makini cha habari kinaweza kupoteza umakini wa chombo cha habari kwani msomaji anaposoma headline na conclude bila kupata ushahidi wa alichosoma kwenye habari yenyewe.
Huu mtindo unatumika sana kwenye clip za You Tube ili kupata followers na idadi ya wasomaji na wasikilizaji.
Mwananchi wamevunja sheria na kanuni inabidi waombe radhi.
Kama wewe ni mwandishi unakosoa kichwa Cha habari Cha mwananchi una shida mahali.
Pengine chuo Chako au uwezo wa uelewa au vyote Kwa pamoja Kuna shida.
Uandishi ni Sanaa na ubunifu.
Mwandishi wa mwananchi analenga zaidi ya Vitu viwili Kwa pamoja.

Kwanza ni kuvutia hadhira kubwa isishie kusoma tu headline Bali itamani kufuatilia habari nzima . Hapo itakuwa imesaidia kutangaza huo mkutano kwa wananchi kufuatilia.

Pili lazima avutie wananchi wengi wanunue gazeti ili kesho kampuni iweze kujiendesha na kuendelea kutuhabarisha .

Hapo ni tofauti na mwandishi wa gazeti la mzalendo na uhuru .

Kwa akili ya kichawa huwezi kuelewa ugumu wa uandishi wa mwananchi.
 
Back
Top Bottom