PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Video tuone
 
Naomba uniombee tafadhali, sitaweza kuhudhuria, nawatakia Ibada njema, Mwenyezi MUNGU akawaonekanie
 
Kama hawajamdhibiti huyo Dada,kufika 2030 atakuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa sana mitandaoni.
 
Mkuu Imani ni hiyo moja tu, nyingine ni copies
Waulize babu zako walikua na Imani gani mazee au ujapata hata historia yako maana Babu yangu mimi yupo hai najua dini kaingiaje na historia kanipa kama hauna historia yako utabaki kudanganya watu tu humu ndio maana wanaojua historia zao wapo kimya kuhusu Imani ya mtu yeyote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…