Gerson Msigwa: Changamoto ya wagonjwa wa figo nchini inaongezeka kwa kiwango kikubwa. Tusimbeze Profesa Janabi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma alipotembelea Bohari ya Dawa (MSD) kanda ya kati, Msigwa amesema serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha inakabiliana na hali hiyo kwa ufanisi na kupunguza athari kwa wananchi.

Katika kukabiliana na changamoto hiyo, serikali imeweka mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za huduma kwa wagonjwa wa figo- moja ya hatua kubwa zilizochukuliwa ni kuongeza idadi ya mashine za kuchujia damu kutoka mashine 60 zilizokuwepo awali hadi kufikia mashine 137 hivi sasa ambapo ongezeko hilo limekuwa na mchango mkubwa katika kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wagonjwa wengi zaidi nchini.

Ngwengwe pia nisababu kubwa ya magonjwa ya figo.

King Kong III
 
Shida ni vile vi pombe vya buku 2..vingi feki
Wafanye mambo mafisadi wasiendelee kutuuwa kwa kufyatua feki kwa manufaa yao.Ila wenye mamlaka ya udhibiti wasiwe na wasiendelee kuwa sehemu ya huu ufisadi.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma alipotembelea Bohari ya Dawa (MSD) kanda ya kati, Msigwa amesema serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha inakabiliana na hali hiyo kwa ufanisi na kupunguza athari kwa wananchi.

Katika kukabiliana na changamoto hiyo, serikali imeweka mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za huduma kwa wagonjwa wa figo- moja ya hatua kubwa zilizochukuliwa ni kuongeza idadi ya mashine za kuchujia damu kutoka mashine 60 zilizokuwepo awali hadi kufikia mashine 137 hivi sasa ambapo ongezeko hilo limekuwa na mchango mkubwa katika kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wagonjwa wengi zaidi nchini.

▪️Mnaruhusu pombe za spirit kuuzwa kama njugu mitaani?
 
Tunatakiwa kunywa maji kiasi Kwa siku, mnatuchanganya sana tukinywa mengi mara ooh tunaiovadozi Figo sasa tuchague lipi????
 
Back
Top Bottom