Gerson Msigwa: Changamoto ya wagonjwa wa figo nchini inaongezeka kwa kiwango kikubwa. Tusimbeze Profesa Janabi

Gerson Msigwa: Changamoto ya wagonjwa wa figo nchini inaongezeka kwa kiwango kikubwa. Tusimbeze Profesa Janabi

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.
Taja hata vinywaji visivyo na viwango
 
Painkiller kila siku? Du!.. are you serious ndugu?
MKUU MIMI HUWA NINA KITU INAITWA KIPANDA USO SO HIYO SIO MIMI EVEN MY FATHER ANA 68YRS SO MIMI NACHOJUA HAKUNA KITU HAKIN MADHARA KWAKUWA I DRINK PLENTY OF WATER.
 
MKUU MIMI HUWA NINA KITU INAITWA KIPANDA USO SO HIYO SIO MIMI EVEN MY FATHER ANA 68YRS SO MIMI NACHOJUA HAKUNA KITU HAKIN MADHARA KWAKUWA I DRINK PLENTY OF WATER.
Ni kweli "Migraine" inarithishwa..
Maji mengi sawa ila matumizi ya Painkiller kwa muda mrefu haisaidii sana kwenye Mrundikano wa Sumu kwenye Ini na kusababisha Vidonda vya Tumbo..
 
Ni kweli "Migraine" inarithishwa..
Maji mengi sawa ila matumizi ya Painkiller kwa muda mrefu haisadii sana kwenye Mrundikano wa Sumu kwenye Ini na kusababisha Vidonda vya Tumbo..
Yes je IPI njia bora ya Ku-cope with this situation?.
 
Back
Top Bottom