Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kipenzi chetu Hussain Ali 🥺 😭 cc Poor BrainAshukuriwe kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3442337
adriz
Ngwengwe pia nisababu kubwa ya magonjwa ya figo.Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma alipotembelea Bohari ya Dawa (MSD) kanda ya kati, Msigwa amesema serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha inakabiliana na hali hiyo kwa ufanisi na kupunguza athari kwa wananchi.
Katika kukabiliana na changamoto hiyo, serikali imeweka mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za huduma kwa wagonjwa wa figo- moja ya hatua kubwa zilizochukuliwa ni kuongeza idadi ya mashine za kuchujia damu kutoka mashine 60 zilizokuwepo awali hadi kufikia mashine 137 hivi sasa ambapo ongezeko hilo limekuwa na mchango mkubwa katika kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wagonjwa wengi zaidi nchini.
Wafanye mambo mafisadi wasiendelee kutuuwa kwa kufyatua feki kwa manufaa yao.Ila wenye mamlaka ya udhibiti wasiwe na wasiendelee kuwa sehemu ya huu ufisadi.Shida ni vile vi pombe vya buku 2..vingi feki
Wachina wamejaa na wanavifyatua kishenzi katika viwanda vyao huko uchovhoroni, na vijana wanavinywa na kuua Figo zao...hatari sana.Shida ni vile vi pombe vya buku 2..vingi feki
▪️Mnaruhusu pombe za spirit kuuzwa kama njugu mitaani?Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma alipotembelea Bohari ya Dawa (MSD) kanda ya kati, Msigwa amesema serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha inakabiliana na hali hiyo kwa ufanisi na kupunguza athari kwa wananchi.
Katika kukabiliana na changamoto hiyo, serikali imeweka mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za huduma kwa wagonjwa wa figo- moja ya hatua kubwa zilizochukuliwa ni kuongeza idadi ya mashine za kuchujia damu kutoka mashine 60 zilizokuwepo awali hadi kufikia mashine 137 hivi sasa ambapo ongezeko hilo limekuwa na mchango mkubwa katika kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wagonjwa wengi zaidi nchini.
umehamia dabo kiki mkuuSijawahi kunywa juice wala soda toka 2007
Harafu vinazeesha hivyo vinywaji...yaani dogo mdogo unaweza kumsalimiaWachina wamejaa na wanavifyatua kishenzi katika viwanda vyao huko uchovhoroni, na vijana wanavinywa na kuua Figo zao...hatari sana.
Hahahaha siwezi hizo mbanga mzee 😂umehamia dabo kiki mkuu
Tunatakiwa kunywa maji kiasi Kwa siku, mnatuchanganya sana tukinywa mengi mara ooh tunaiovadozi Figo sasa tuchague lipi????Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.