SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Katika kukabiliana na changamoto hiyo, serikali imeweka mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za huduma kwa wagonjwa wa figo- moja ya hatua kubwa zilizochukuliwa ni kuongeza idadi ya mashine za kuchujia damu
Ukifuatilia mbali na hivyo vinywaji ulivyo acha unaweza kukuta huna chanjo ya homa ya ini, na kila ukipata maumivu unakunywa diclopa mbili na ukiona hauponi unaongeza mbili zingine hivyo unagonga nne kwa mpigo ili maumivu yakome haraka, unakula sana wali mweupe na ugali mweupe,unatumia mafuta ua kupikia usiyo jua yanatokana na mmea gani,unapita mitaani unavuta hewa chafu jirani kachoma maplastik,Kwann sipo salama mkuu 🤔
Hivi mtu anadaiwa 50 million amekaa hospital hata mwezi ujafika, huoni serikali inafanya biashara kwa afya za wananchi wakeWananchi nsio wanacheza na afya zako
Wewe unafahamu kabisa pombe ni shida halafu unatumia pombe weeee, ukianza kuugua unalaumu serikali?
Nadhani ifike mahala sasa watanzania tubebe majukumu yetu w
Nipe somo mkuuUkifuatilia mbali na hivyo vinywaji ulivyo acha unaweza kukuta huna chanjo ya homa ya ini, na kila ukipata maumivu unakunywa diclopa mbili na ukiona hauponi unaongeza mbili zingine hivyo unagonga nne kwa mpigo ili maumivu yakome haraka, unakula sana wali mweupe na ugali mweupe,unatumia mafuta ua kupikia usiyo jua yanatokana na mmea gani,unapita mitaani unavuta hewa chafu jirani kachoma maplastik,
kuutafuta ukamilifu kwa nchi zetu za kiafrica hizi hasa tanganyika hii kazi sana maana swala la safety kwa raia wake hata serikali hailijali kabisa, kuna rundo la dawa bandia vyombo vya plastik vyenye kemikali sumu kutoka china vingi sana, mafuta ya ngozi bandia vitu vingi yaani fake ni 85%
Unakunywa maji ya kutosha, unamaliza dozi ya dawa za magonjwa?Sijawahi kunywa juice wala soda toka 2007
Maji yanakunywa Lita mbili per day mara nyingi,Unakunywa maji ya kutosha, unamaliza dozi ya dawa za magonjwa?
Wanafaidika na huo mzizi na hayo matokeo..Badala ya kudeal na mzizi wao wan deal na matokeo
Kuna wale wa kukatiza dozi na matumizi mbaya ya hizi antibiotics na pain killers, hiyo pia ni sababu nyingine ya matatizo ya figo. Kama uapiga Lita 2 upo vizuri. Hongera.Maji yanakunywa Lita mbili per day mara nyingi,
Hapo kwenye dawa sijakuelewa
Eti anasema wamewapunguzia gharama, TZ ni takataka kabisaHivi mtu anadaiwa 50 million amekaa hospital hata mwezi ujafika, serikali inafanya biashara kwa afya za wananchi wake
Waongo tena tabia hizo za ku overpriced zipo muhimbili na mloganzila.Eti anasema wamewapunguzia gharama, TZ ni takataka kabisa
Aaaah kiukweli sijawahi umwa serious ukiachana na nilivyo kuwa mdogo na kipindi flani nikiwa km 8yrs nyingn ni kichwa tu hivyo japo siku hz nasikia ndani ya mwili sipo sawa, inanipa hofuKuna wale wa kukatiza dozi na matumizi mbaya ya hizi antibiotics na pain killers, hiyo pia ni sababu nyingine ya matatizo ya figo. Kama uapiga Lita 2 upo vizuri. Hongera.
Wadai huko Kuna maspeshalisti kwa hiyo gharama lazima ziwe juu.Waongo tena tabia hizo za ku overpriced zipo muhimbili na mloganzila.
Tuambie mbadala wa painkillersKuna wale wa kukatiza dozi na matumizi mbaya ya hizi antibiotics na pain killers, hiyo pia ni sababu nyingine ya matatizo ya figo. Kama uapiga Lita 2 upo vizuri. Hongera.
Na mnazalisha energy drinks kwa wingiMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma alipotembelea Bohari ya Dawa (MSD) kanda ya kati, Msigwa amesema serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha inakabiliana na hali hiyo kwa ufanisi na kupunguza athari kwa wananchi.
Katika kukabiliana na changamoto hiyo, serikali imeweka mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za huduma kwa wagonjwa wa figo- moja ya hatua kubwa zilizochukuliwa ni kuongeza idadi ya mashine za kuchujia damu kutoka mashine 60 zilizokuwepo awali hadi kufikia mashine 137 hivi sasa ambapo ongezeko hilo limekuwa na mchango mkubwa katika kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wagonjwa wengi zaidi nchini.
Painkiller kila siku? Du!.. are you serious ndugu?Tuambie mbadala wa painkillers
Mimi huwa natumia painkillers kila siku hapa unataka kusemaje ?
Hajazungumzia udhaifu wa serikali katika kusimamia viwango vya hizo pombe za buku 2...!?VIONGOZI WALIOPITISHWA KWA RUSHWA HAWAWEZI KUTATUA MATATIZO YA WATANZANIA ,ANGALIA BIMA YA AFYA
Kama mtu anahongwa pilau, kofia, dera na chupa ya chai ili aichague CCM kwa miaka mitano. Hata baiskeli AKILI ATATOA WAPI SASA??Na hao wanaonunua kwani hawana akili timamu?