Taja hata vinywaji visivyo na viwangoMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi holela ya dawa pamoja na kutotumia maji ya kutosha.
MKUU MIMI HUWA NINA KITU INAITWA KIPANDA USO SO HIYO SIO MIMI EVEN MY FATHER ANA 68YRS SO MIMI NACHOJUA HAKUNA KITU HAKIN MADHARA KWAKUWA I DRINK PLENTY OF WATER.Painkiller kila siku? Du!.. are you serious ndugu?
Ni kweli "Migraine" inarithishwa..MKUU MIMI HUWA NINA KITU INAITWA KIPANDA USO SO HIYO SIO MIMI EVEN MY FATHER ANA 68YRS SO MIMI NACHOJUA HAKUNA KITU HAKIN MADHARA KWAKUWA I DRINK PLENTY OF WATER.
Yes je IPI njia bora ya Ku-cope with this situation?.Ni kweli "Migraine" inarithishwa..
Maji mengi sawa ila matumizi ya Painkiller kwa muda mrefu haisadii sana kwenye Mrundikano wa Sumu kwenye Ini na kusababisha Vidonda vya Tumbo..
Shida siyo viwango vya hivyo vinywaji ila ingredients zenyewe ndo zina shida..Taja hata vinywaji visivyo na viwango
Maspecialist wapigaji tuWadai huko Kuna maspeshalisti kwa hiyo gharama lazima ziwe juu.