Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
wito unatolewa siku ya mapumziko kweli majina mengine tusiwaite watoto wetu watasigwa kweli kweli
CCM wana matatizo sanaKumbe kuvamia ni utaratibu wa kawaida,...
Hili mbulula Msigwa huwa halifikirii kabisa kabla ya kubwabwaja.Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
View attachment 3466077
Matipo nilijua mtaibuka tu... Hebu taja hayo matusi humu yanayotukanwa.Jamii forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...