hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Eeimenkibao kitayageukia soon.
Eeimenkibao kitayageukia soon.
Umeongea sahihi huyu jamaa nimewahi kuishi naye jirani akiwa pale TBC songea, nyumba yake nzuri kazungushia fence ila ndani kwake ukiingia mazombie kama yote,kuanzia mama iliyesemekana ni mama yake mpaka wanae wote wanavuja mate tu mle ndani,kama una kinyaa huwezi kula wala kunywa chochote,ndio maana hawa jamaa hawana utu.Msigwa ni mpuuzi kama wapuuzi wengine! Kinacho msaidia ni ushirikina na ulozi
Cheo hiki, kinatumiwa vibaya na so called Pro watawala. Kimegeuzwa cha kimungumungu.Jamii Forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...
Kuajiriwa kama official chawa ni ngumu sana hasa pale last born wa taifa na timu yake wanapokuwa wanafanya madudu kila uchwao nawe unatakiwa kusafisha kila madudu wanayoyafanya.Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
View attachment 3466077
wakati huo watumishi wa Mungu tunaendelea kumsihi Mungu afanye aliyofanya kwa waMisri kipindi cha nabii Musa. pale nchini Misri na pale Red seaKuajiriwa kama official chawa ni ngumu sana hasa pale last born wa taifa na timu yake wanapokuwa wanafanya madudu kila uchwao nawe unatakiwa kusafisha kila madudu wanayoyafanya.
Maxence siyo mwendawazimu awazushie kitu ambacho hakijatokea, Msigwa utambue kwamba spana zitaendelea mpaka hapo mabosi wako watakapokuwa wakiitendea haki nchi na kuwatendea haki wananchi wote kwa usawa.
Tulia basi huko uliko mbona Kama bado una wengeTayari siishi huko. Nchi ya kipumbavu sana
Unamaanisha ni GERSON JOSEPH Goebbelshiyo ndo mashine yao ya kuchakata propaganda
Msigwa kama si wewe ni uzao wako! haya unayoyafanya si mema kwa Mungu wa Mbinguni
Habari yako mkuuUsiku mwema
naamUnamaanisha ni GERSON JOSEPH Goebbels
Platform ambayo ni user generated content kama JF unavamia kutafuta nini? Uwezekano wa kumpata ambaye chapisho lake limekukera ni 0.00000000001%.Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
View attachment 3466077
Jf Staff: "Afisa hata ukichukua kompyuta zetu hamna kitu utakuta humo kila kitu kinakwenda moja kwa moja kwa cloud."hiyo ndo mashine yao ya kuchakata propaganda
Maliyamungu/Goebbels wa Bongo ya sasahiyo ndo mashine yao ya kuchakata propaganda
wanamuamini sanaMaliyamungu/Goebbels wa Bongo ya sasa