Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Leo si sikukuu na hata hivyo kuhusu barua,si kuna watu wa posta huhusika?
 
Maxence kuwa careful serikali ya sasa sio rafiki usimwamini mtu….kwani serikali haina utaratibu wa kumjulisha mtu Kama wanavisit Kabla ya kwenda kumuona??? Mtaibuka vipi office ya mtu Kama mizuka wapumbavu nyie…
 
Huitaji kuwa mwanasayansi mtafiti ili kujua nani wa kumwamini... Msema uongo husahau mambo ya msingi. Kwa mfano leo ni siku ya mapumziko. Kisheria watumishi wa Serikali hupumzika na rejista za kiofisi hufungwa.

Hiyo barua itaonesha imesajiliwa lini?
Kazi kweli kweli
 
Kuna moderators huwa wanaedit post (kwa sababu mimi ni King mkuu wa humu JF) zangu ili kubadilisha maana(kupotosha)
Kwakweli Sina hamu na hili jukwaa
Mfano niliandika OCTOBER TUNATIKI.. 😭😭😭😿😿😿 Moderator (jina kwenye attached file) akabadilisha akaandika "October tunatikisa wezere hili jukwa ni takataka (NAJISEMA MIMI NI TAKATAKA 🤣🤣🤣🏆 NA NIMEKOMA SIANDIKI TENA)

JE, NA MIMI NI MODERATOR? JIFUNZE KUWA GT NA kujiongeza ki fikra sio kurupuka tu nawe upae.. hawujui uliza wajuao ujifunze/
tiki njema


Kuna moderators huwa wanaedit post zangu ili kubadilisha maana(kupotosha)
Kwakweli Sina hamu na hili jukwaa
Mfano niliandika OCTOBER TUNATIKI.. Moderator (jina kwenye attached file) akabadilisha akaandika "October tunatikisa wezere hili jukwa ni takataka
 
Ushirikiano gani na majizi na mafisadi? Hizo server za jamii forum zipo Marekani hata Tanzania hazipo alishindwa Magufuli ije iwe kwa Samia ?
 
Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.

Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.

Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa

View attachment 3466077
Bora angekaa kimyaaa
 
Jamii Forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...

Nani anayetukana? Kutukana ni makosa makubwa sana. Jamii yetu haiko hivyo.

Lakini pia, kuzuia watu kutoa hoja nayo sio nzuri pia. Inatengeneza kukosa uwajibikaji
 
Max ulikuwa na uwezo wa kuwaumbua hawa vibwengo kwa ku elezea kilichotokea na kwenda mbali hata ku release cctv footage. Sasa umekaa kuficha ficha mara nitaelezea kiundani hapo baadae Sasa umewapa loophole wajisafishe.
 
Back
Top Bottom