kwa maslai ya taifa
Senior Member
- May 2, 2025
- 175
- 178
Dharau kubwa sana ipo sku si nyingi
Halafu wewe Gerson Msigwa, upo himu jukwaani! Halafu umeamua kutuchemsha akili!Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
View attachment 3466077
Bingwa wa kusaga na kukoboa 😀hiyo ndo mashine yao ya kuchakata propaganda
Waanze kuwazuia nyie MachawaJamii forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...
Ngoja nikae kimya! Nimekuwa na siku mbaya leoHii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
View attachment 3466077
Halafu wewe Gerson Msigwa, upo himu jukwaani! Na bado umeamua kutuchemsha akili!Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
View attachment 3466077
Huku X zamani Twitter wanamtembezea spana za maana...Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.
Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa
View attachment 3466077
Kwakweli picha zile binafsi zilinikwaza sana, jamaa limekalia mgongo kwa dharau kabisa, huku likititazamana na sa100 pembeni kukiwa na bendera ya taifa letu.Hapo patakuwa pagumu sana, wanawataka watu wale kwenye uzi uliofufuliwa jana. Ule uzi ulikuwa wa May, ukafukuliwa jana sijui Polepole alimtaja bonge. Sasa watu walichafukwa sana na zile picha, hawajapenda yale yaliyokuwa yanachangiwa. Hii ngoma ngumu sana.
wanamuamini sana huyu jamaa, jambo hata liwe hovyo vipi anapambana nalo hivyohivyoBingwa wa kusaga na kukoboa 😀
Miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa JPM huyu bwana amekuja kuwa mtu wa ajabu sana, ila propaganda anayofanya ndio ina mpatia ugali mezaniwanamuamini sana huyu jamaa, jambo hata liwe hovyo vipi anapambana nalo hivyohivyo
Serikali haina holiday kwenye swala la usalama. .Hawa Viongozi wa Serikali wakati Mwemgine Hamnazo, Msigwa haangalii hata Nyakati kweli? Holyday Barua gani inapelekwa? 😁
Lazima atetee uovu! Mawasiliano gani ya kuviziana?Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.