Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Max ulikuwa na uwezo wa kuwaumbua hawa vibwengo kwa ku elezea kilichotokea na kwenda mbali hata ku release cctv footage. Sasa umekaa kuficha ficha mara nitaelezea kiundani hapo baadae Sasa umewapa loophole wajisafishe.
Kalamba nyuki?
 
Very outdated traditional methodology. Apart from kujimwambafai we are electronically reaching people kwahiyo wakaona bora waende na malandikruza?
 
Hahaha leo mmelala njaa hamkupata mti wa kuteka.

Nawasisitiza watanzania tuunde majeshi tuachane na siasa safi.
Taliban, hamas, Houthis, M23 diyo wajinga wale.

Tujifunze kwa Syria leo Al Asaad hayupo, walikufa waliteswa lakini wameshinda, tuache uoga.
 
Kuna moderators huwa wanaedit post zangu ili kubadilisha maana(kupotosha)
Kwakweli Sina hamu na hili jukwaa
Mfano niliandika OCTOBER TUNATIKI.. Moderator (jina kwenye attached file) akabadilisha akaandika "October tunatikisa wezere hili jukwa ni takataka
Wewe ulikua umelewa zako WANZUKI alafu unasingizia MODERATOR 🤔🤔🤔
 
Jamii Forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...
wakawashtaki meta na X sio kumuonea max aisee kwani tweets huko x hawazioni wakampelekee barua ya wito bwana elon basi
 
Yaani baada ya kutofanikiwa kwa kile mlichokusudia, mkaona mje na hako kautetezi?? Watz siyo Wajinga ukiwemo wewe. Sema tu wewe ni spika radio ni mwingine.

Wakati mwingine ukipewa taarifa zenye ukakasi basi wewe kama spika, usitoe sauti nyororo toa ya mikwaruzo kuichanganya radio.
 
Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.

Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu Maxence Melo usilete taharuki isiyo na sababu za msingi, toa ushirikiano.

Soma Pia: Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni zimevamiwa

View attachment 3466077
 
Back
Top Bottom