Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Halafu wewe Gerson Msigwa, upo himu jukwaani! Halafu umeamua kutuchemsha akili!
 
Ngoja nikae kimya! Nimekuwa na siku mbaya leo
 
Halafu wewe Gerson Msigwa, upo himu jukwaani! Na bado umeamua kutuchemsha akili!
 
Huku X zamani Twitter wanamtembezea spana za maana...
Hahaha...


Cc: Mahondaw
 
Kwakweli picha zile binafsi zilinikwaza sana, jamaa limekalia mgongo kwa dharau kabisa, huku likititazamana na sa100 pembeni kukiwa na bendera ya taifa letu.
 
Lazima atetee uovu! Mawasiliano gani ya kuviziana?
 
Kuna moderators huwa wanaedit post zangu ili kubadilisha maana(kupotosha)
Kwakweli Sina hamu na hili jukwaa
Mfano niliandika OCTOBER TUNATIKI.. Moderator (jina kwenye attached file) akabadilisha akaandika "October tunatikisa wezere hili jukwa ni takataka
 

Attachments

  • Screenshot_20250817-185109.png
    180.4 KB · Views: 32
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…