Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

Msigwa ni mpuuzi kama wapuuzi wengine! Kinacho msaidia ni ushirikina na ulozi
Umeongea sahihi huyu jamaa nimewahi kuishi naye jirani akiwa pale TBC songea, nyumba yake nzuri kazungushia fence ila ndani kwake ukiingia mazombie kama yote,kuanzia mama iliyesemekana ni mama yake mpaka wanae wote wanavuja mate tu mle ndani,kama una kinyaa huwezi kula wala kunywa chochote,ndio maana hawa jamaa hawana utu.
Mpaka kufika hapo walipo wamefanya ukatili kwa watu na ndugu wa damu kabisa.
 
Jamii Forum iwazuie members wote wanaomtukana rais. Hawatasumbuliwa , la sivyo...
Cheo hiki, kinatumiwa vibaya na so called Pro watawala. Kimegeuzwa cha kimungumungu.

Tanzania zamani haikuwa hivi. Mbona tumekuwa wa kunyoshewa vidole leo. Tanzania iliyokemea udikteta na ubaguzi. Leo raia wake wanabaguliwa ndani ya nchi na kupotezwa, hakuna annealing!!
 
Kuajiriwa kama official chawa ni ngumu sana hasa pale last born wa taifa na timu yake wanapokuwa wanafanya madudu kila uchwao nawe unatakiwa kusafisha kila madudu wanayoyafanya.
Maxence siyo mwendawazimu awazushie kitu ambacho hakijatokea, Msigwa utambue kwamba spana zitaendelea mpaka hapo mabosi wako watakapokuwa wakiitendea haki nchi na kuwatendea haki wananchi wote kwa usawa.
 
wakati huo watumishi wa Mungu tunaendelea kumsihi Mungu afanye aliyofanya kwa waMisri kipindi cha nabii Musa. pale nchini Misri na pale Red sea
 
Uzuri huwa situkani. Lkn c Kuna muda kiongozi melo alilamba chaka Kwa system.? Au aligoma kuachia I'd za machalii.?
 
Imagine maxence angekuwepo je?

- Ukistaajabu ya "wito" utayaona ya mdude kunyakuliwa nyumbani kwake! Alisikika mchangiaji mmoja.
 
Platform ambayo ni user generated content kama JF unavamia kutafuta nini? Uwezekano wa kumpata ambaye chapisho lake limekukera ni 0.00000000001%.
 
hiyo ndo mashine yao ya kuchakata propaganda
Jf Staff: "Afisa hata ukichukua kompyuta zetu hamna kitu utakuta humo kila kitu kinakwenda moja kwa moja kwa cloud."
Afisa: "Na huyo Kraudi pia tunakwenda kumfuata kwake atupatie raptopu zake."
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…