Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama.
Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc
Sioni tija ya kuendelea kuwa na nafasi hii....bora ifutwe.
Kila waziri anajisemea masuala yoote yanayoihusu wizara yake.
Kila mkuu wa mkoa anajisemea mambo yote yanayouhusu mkoa wake....msemaji mkuu wa serikali kabaki hana kazi.