Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Aje awapinge viongozi wake wakiroho!?!, atetee uovu 'dhambi'...Ha! Ha! Ha! patamu hapoHuyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama.
Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc
Sioni tija ya kuendelea kuwa na nafasi hii....bora ifutwe.
Kila waziri anajisemea masuala yoote yanayoihusu wizara yake.
Kila mkuu wa mkoa anajisemea mambo yote yanayouhusu mkoa wake....msemaji mkuu wa serikali kabaki hana kazi.
Aliingia chaka juzi alipost taarifa ya Jeshi la Magereza kudai Lissu yupo Keko. Kuamka asubuhi Jeshi la Magereza likabadili gia angani kudai amehamishiwa Ukonga akaifuta fasta.Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama.
Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc
Sioni tija ya kuendelea kuwa na nafasi hii....bora ifutwe.
Kila waziri anajisemea masuala yoote yanayoihusu wizara yake.
Kila mkuu wa mkoa anajisemea mambo yote yanayouhusu mkoa wake....msemaji mkuu wa serikali kabaki hana kazi.
Kuna vyeo vingi sana vya kuondolewa kwenye hii nchi. Moja wapo ni hivi na vinginevyo hata viti maalumu vya kufutwa bungeniHuyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama.
Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc
Sioni tija ya kuendelea kuwa na nafasi hii....bora ifutwe.
Kila waziri anajisemea masuala yoote yanayoihusu wizara yake.
Kila mkuu wa mkoa anajisemea mambo yote yanayouhusu mkoa wake....msemaji mkuu wa serikali kabaki hana kazi.
Vipi Kwenye magoli,huwa anapewa Cha kusema na nani?!!!Msemaji wa serikali huwa hasemi tu ila anapewa cha kusema.
That's ethics of his duty
Hata hayo matangazo yake ya michezo nayo ni famba tu.Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama.
Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc
Sioni tija ya kuendelea kuwa na nafasi hii....bora ifutwe.
Kila waziri anajisemea masuala yoote yanayoihusu wizara yake.
Kila mkuu wa mkoa anajisemea mambo yote yanayouhusu mkoa wake....msemaji mkuu wa serikali kabaki hana kazi.
Kwa hiyo huwa anapewa mambo ya michezo zaidi kuyasemea??Msemaji wa serikali huwa hasemi tu ila anapewa cha kusema.
That's ethics of his duty
Ni katibu mkuu wa wizara ya michezo na msemaji mkuu serikali kwa pamoja?Ni katibu Mkuu wa wizara ya michezo pia