Gerson Msigwa: Huwezi kukurupuka kumfukuza mtu, pengine hata wakaguzi wa CAG nao ukaguzi wao una dosari

Mwambie hiviiii," KUNA MTU KAAGA BBC LEO", HOMU KAMINGI
 
Ndugu yangu nimepandwa na hasira hapa.

Hii kauli ni msumari kwenye box la CCM.

Kauli hii ni aibu kubwa
 
Utaratibu wa utoaji wa Ripoti ya Ukaguzi,hupitia hatua mbalimbali.Kwanza wahusika(watuhumiwa) hujibu hoja hizo kwa maandishi (pengine zaidi za mara moja).Mpaka unaona hoja zinakuja kwenye Ripoti humo,maana yake hazikuweza kutatuliwa (outstanding issues) mpaka wanapotoa Ripoti.Pia zinafungwa(closed) na CAG mwenyewe kama zina majibu ya kuridhisha na wala sio Bunge au Serikali.Zinakwenda Bungeni na Serikalini kwa ajili na "kuchukua hatua stahiki" kwa mujibu wa sheria.Kuwa na "dhana" kwamba unaweza kubishia Ripoti ya CAG "hewani" au kwenye Jamii forum ni kukosa uelewa wa taarifa za Ukaguzi namna zinavyofanya kazi.
 
Wenzio walitaka siku ile kesho yake waone makarandinga yamejaza watuhumiwa pale kisutu. Au wasukie CAG amefukuzwa kazi kama alivyofukuzwa ASSAD Hapo ahhh ungesikia raisi anapinga ufisadi kwa vitendo. Wajinga tu hawa wabongo
 
MSIGWA hana uwezo kiakili wa kuwa hata Msemaji wa mkoa.
 
CAG huwa hafukuzwi acha kupotosha. Yule alimaliza awamu yake ya Kwanza ila haukuongezewa muda, baada ya kupasua ufisadi wa trioni 1.5
Lakini unajua kwamba kwenye kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama ilitamka wazi kuwa aliondolewa ofisini kinyume Cha katiba Sheria na Taratibu ambapo kwa neno moja Ni kufukuzwa?
 
Miaka yote mbona iko hivyo, bunge la hili huwa ni la bajeti.
Basi waambieni wabadilishe sheria tunataka baada ya report ya CAG kutoka, mapungufu yafanyiwe kazi kwa haraka sana na wezi wa Mali za Umma wafikishwe Mahakamani kwa haraka sana ili kuleta nidhamu kwa Watumishi wengine watakao taka tafuna Mali ya Umma! Mali ya Umma lazima iogopewe na kila Mtu!!
 
Nikupe tu pole. Audit queries zinatolewa then zinajibiwa na hapo mjadala unafanyika kuhusisha audit query na majibu. Kama unafikiri audit query ni verdict, you simply miss the point. Na ni lazima upate kichefuchefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…