Pathetic!.... Kwa nini Serikali inayokusanya kodi isiwekeze zaidi yenyewe kama shida ni ufanisi mdogo? Kwani hakuna watanzania wenye uwezo wa kusimamia uwekezaji sawa na hao waarabu? Juzi tu mlikuwa mnamsifia Neema rubani kwa uwekezaji kwenye ndege ya mizigo.... Iweje bandari pekee itegemee wajomba wa uarabuni?..... 🤮
wewe nae tumekuchoka
mchumia tumbo tu
umekomaa utadhani unajikomba ili upate uteuzi
acha kutuonesha kuwa hatuwezi lolote
Kama hauwezi ni wewe na familia yako
Koma kabisa ndugu
wewe nae tumekuchoka
mchumia tumbo tu
umekomaa utadhani unajikomba ili upate uteuzi
acha kutuonesha kuwa hatuwezi lolote
Kama hauwezi ni wewe na familia yako
Koma kabisa ndugu
Naona amezidi kutuzodoa na kutudhihaki kila mara kauli yake kuwa hatuwezi na tusaidiwe!
Usijekuta nae amenunuliwa tayari!
anafukuzia uteuzi!
Akasaidiwe yeye na familia yake!
Sio wote tunaopenda dhihaka
wakati au kipindi hichi ni bora watu wanaoheshimiwa na Jamii wachunge sana kauli zao