Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

SUPIKA WA JUMBA

BIBI RANGO ATAKAVYOKUWA ANAPITISHA UOZO

IMG_6837.jpg
 
Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza.mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
View attachment 2652081
Pathetic!.... Kwa nini Serikali inayokusanya kodi isiwekeze zaidi yenyewe kama shida ni ufanisi mdogo? Kwani hakuna watanzania wenye uwezo wa kusimamia uwekezaji sawa na hao waarabu? Juzi tu mlikuwa mnamsifia Neema rubani kwa uwekezaji kwenye ndege ya mizigo.... Iweje bandari pekee itegemee wajomba wa uarabuni?..... 🤮
 
Umempa makavu ya nguvu

Naona amezidi kutuzodoa na kutudhihaki kila mara kauli yake kuwa hatuwezi na tusaidiwe!
Usijekuta nae amenunuliwa tayari!
anafukuzia uteuzi!
Akasaidiwe yeye na familia yake!
Sio wote tunaopenda dhihaka

wakati au kipindi hichi ni bora watu wanaoheshimiwa na Jamii wachunge sana kauli zao
 
Back
Top Bottom