Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
SUPIKA WA JUMBA
BIBI RANGO ATAKAVYOKUWA ANAPITISHA UOZO
BIBI RANGO ATAKAVYOKUWA ANAPITISHA UOZO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini bandari ya Zanzibar isiuzweNonesense
Pathetic!.... Kwa nini Serikali inayokusanya kodi isiwekeze zaidi yenyewe kama shida ni ufanisi mdogo? Kwani hakuna watanzania wenye uwezo wa kusimamia uwekezaji sawa na hao waarabu? Juzi tu mlikuwa mnamsifia Neema rubani kwa uwekezaji kwenye ndege ya mizigo.... Iweje bandari pekee itegemee wajomba wa uarabuni?..... 🤮Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza.mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
View attachment 2652081
Umempa makavu ya nguvuwewe nae tumekuchoka
mchumia tumbo tu
umekomaa utadhani unajikomba ili upate uteuzi
acha kutuonesha kuwa hatuwezi lolote
Kama hauwezi ni wewe na familia yako
Koma kabisa ndugu
Umempa makavu ya nguvu
Hatuwezi na wala hatuna muda huo!Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
View attachment 2652081