Gerson Msigwa karibu Idara ya Habari Maelezo, kitovu cha majungu, nyumba ya lawama ikiwa utakubali kutumika

Wewe ni mvuvi wa samaki aina ya 'ngorokoro' pale kwenu Kyela. Pia itakua unakoboa Mpunga pale sokoni kalumbulu. Hali yako ya kimaisha itakua kama mimi tu... Twende CCM wakatukomboe

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Kyela kwa sasa ni Kambare mkuu, kalumbulu nako kumepoa hadi mwezi wa mavuno kwahiyo wacha tu tuwe wahandishi wa habari kwa muda[emoji16]
 
kama namuona vile chawa pasco anavyoomba Mungu awakumbushe wasaidizi wa mama wachomeke(hata kimakosa) jina lake kwenye orodha nyingine ya watu watakaoteuliwa.
giphy.gif
 
Kuna Tofauti kubwa sana kati ya kuwa Msemaji wa Ikulu na kuwa Msemaji wa Serikali ama kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo , Ikulu unaongea wewe tu na wala huhojiwi na mtu yeyote , kuna maswali uchwara tu yaliyojaa uoga uoga hivi , tena unaweza hata usiyajibu na shughuli ikaisha tu.

Idara ya Habari Maelezo haina mchezo na wala hakuna mtu atakuogopa kwa lolote , kifupi ni kwamba umeletwa kwenye moto ambako weledi wako ndio utakaokuokoa , hata hivyo naamini awamu ya Mama haitakuwa na fungia fungia Vyombo vya habari , vinginevyo hapo ndio mahali ambapo ungejibebea lawama za milele na laana kubwa mno .

kimsingi umeshushwa kutoka juu na kuporomokea kwenye tanuri la moto , sasa jiongeze mwenyewe .

Kwa leo ni hayo tu mjomba , ukitaka mengine nipigie .
Idara ya habari maelekezo ni kijiwe, sidhani kama OC wanapata kwa muda aisee, kwa kweli pale atasugua sana gaga, kama mama amempleka pale kwa lengo la promotion nadhani qmempeleka sehemu isiyofaa hata kwa mantiki yake lkn kama ameamua kumkomesha atakomesheka hasa.
 
Kale ka idara kalivyo na njaa atakua anaongea peke yake barabarani yaani full njaa maafisa wamepaukaaaaaa utadhani vibibi kwa wanawake kwa wanaume ndiokabisaaaa vikongweeeeee, hawana wanachojua kazi kusifia upuuzi tu sasa huyu kweli kapatikana kabisaaaa , hii inaitwa finished completely
 
Kuna Tofauti kubwa sana kati ya kuwa Msemaji wa Ikulu na kuwa Msemaji wa Serikali ama kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo , Ikulu unaongea wewe tu na wala huhojiwi na mtu yeyote , kuna maswali uchwara tu yaliyojaa uoga uoga hivi , tena unaweza hata usiyajibu na shughuli ikaisha tu.

Idara ya Habari Maelezo haina mchezo na wala hakuna mtu atakuogopa kwa lolote , kifupi ni kwamba umeletwa kwenye moto ambako weledi wako ndio utakaokuokoa , hata hivyo naamini awamu ya Mama haitakuwa na fungia fungia Vyombo vya habari , vinginevyo hapo ndio mahali ambapo ungejibebea lawama za milele na laana kubwa mno .

kimsingi umeshushwa kutoka juu na kuporomokea kwenye tanuri la moto , sasa jiongeze mwenyewe .

Kwa leo ni hayo tu mjomba , ukitaka mengine nipigie .
Mm nimefurahi tu sijaona popte jina la bwana HASSAN ABASI. Huyu bwana alikuwa kwenye mpango au genge la kutaka magufuli aongezwe muda. Abasi mwanasheria wa hovyo sana kati ya niliowahi kuwajua.
 
Abbas ni Katibu mkuu wizara ya habari, utamaduni sanaa na michezo!
 
Msigwa kapandishwa cheo. Hongera nyingi kwake.
Kutoka ikulu mpaka wizarani ni kupanda cheo au ikoje ikoje hii yaani?.

CHUKUA: mfano huu wa Katibu mkuu kiongozi, Bashiru.
 
Back
Top Bottom