Gerson Msigwa karibu Idara ya Habari Maelezo, kitovu cha majungu, nyumba ya lawama ikiwa utakubali kutumika

Kutoka ikulu mpaka wizarani ni kupanda cheo au ikoje ikoje hii yaani?.

CHUKUA: mfano huu wa Katibu mkuu kiongozi, Bashiru.
Halafu sio tu Wazarani, bali ni Idara iliyochoka ambayo haina bajeti ya maana.

Watumishi kwenye hiyo Idara wamepauka vibaya na ndio wanafanya majungu tu kwenye maofisi ya umma.

Msigwa sijui amemkosea nini Mama ila ndio hivyo tena.
 
Yes yes me ndicho najua, mtu ulikuwa unazunguka na Rais mara gafla bin vuu unaenda kupauka na land cruiser dirisha nusu daaa!.

Nadhani hajamkosea mama ila wameamua kumbadilishia Madame baadhi ya convoy atakayofanya nayo kazi.
 
Back
Top Bottom