H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,149 Reaction score 3,825 Apr 5, 2021 #41 TODAYS said: Kutoka ikulu mpaka wizarani ni kupanda cheo au ikoje ikoje hii yaani?. CHUKUA: mfano huu wa Katibu mkuu kiongozi, Bashiru. Click to expand... Halafu sio tu Wazarani, bali ni Idara iliyochoka ambayo haina bajeti ya maana. Watumishi kwenye hiyo Idara wamepauka vibaya na ndio wanafanya majungu tu kwenye maofisi ya umma. Msigwa sijui amemkosea nini Mama ila ndio hivyo tena.
TODAYS said: Kutoka ikulu mpaka wizarani ni kupanda cheo au ikoje ikoje hii yaani?. CHUKUA: mfano huu wa Katibu mkuu kiongozi, Bashiru. Click to expand... Halafu sio tu Wazarani, bali ni Idara iliyochoka ambayo haina bajeti ya maana. Watumishi kwenye hiyo Idara wamepauka vibaya na ndio wanafanya majungu tu kwenye maofisi ya umma. Msigwa sijui amemkosea nini Mama ila ndio hivyo tena.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Apr 5, 2021 #42 HAMY-D said: Halafu sio tu Wazarani, bali ni Idara iliyochoka ambayo haina bajeti ya maana. Watumishi kwenye hiyo Idara wamepauka vibaya na ndio wanafanya majungu tu kwenye maofisi ya umma. Msigwa sijui amemkosea nini Mama ila ndio hivyo tena. Click to expand... Yes yes me ndicho najua, mtu ulikuwa unazunguka na Rais mara gafla bin vuu unaenda kupauka na land cruiser dirisha nusu daaa!. Nadhani hajamkosea mama ila wameamua kumbadilishia Madame baadhi ya convoy atakayofanya nayo kazi.
HAMY-D said: Halafu sio tu Wazarani, bali ni Idara iliyochoka ambayo haina bajeti ya maana. Watumishi kwenye hiyo Idara wamepauka vibaya na ndio wanafanya majungu tu kwenye maofisi ya umma. Msigwa sijui amemkosea nini Mama ila ndio hivyo tena. Click to expand... Yes yes me ndicho najua, mtu ulikuwa unazunguka na Rais mara gafla bin vuu unaenda kupauka na land cruiser dirisha nusu daaa!. Nadhani hajamkosea mama ila wameamua kumbadilishia Madame baadhi ya convoy atakayofanya nayo kazi.