Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

Tangia lini jitu jeusi akawa na undugu na muarabu hii Kali au huonagi majitu meusi yakitemewa mate na waarabu huku yakiwa maislamu Yani muarabu hataki hata kumsikia undugu na jitu jeusi🤣🤣🤣🤣
🤣Hahaha 🤣hahaaaa
 
Ndo tunao sema No reform No election not down
Your not above us
Kusema kampeni yetu ni upuuzi ni mwendelezo wa kumdanganya Mama! We're very sirious on this
 
Imeingia kwa kishindo hiyo! Tuzidi kuisokomeza mpaka iwafikie kooni!
Hawataki challenges kabisa! Wanalazimisha tuwapende wakijuwa wanatunyima haki, wezi, wanyanyasaji, watekaji, wauwaji, mafisadi, roho mbaya, wabinafsi.
Mashetani KABISA!
 
Uzuri hata huyo msemaji wa serikali anaju ila kwa vile hana namna asingetumia hilo neno.

Ni juzi tu kiongozi mkuu alotaja watumishi wa shetani akilenga watu walio na mtizamo tofauti nae, leo tena tunaitwa wapumbavu!

Kuna msemo unasema anaekukimbiza ukisiki tusi kutoka kwake jua amesha ona hawezi kukukamata tena!

So kuna namna serikili hawana cha kufanya kwa hili ndio maana wanaishia kutukana.

Lakini muda wa kujisahihisha bado upo kwao.
 
Walau sasa faida ya kujua kusoma na kuandika inaonekana. 🤣🤣
 
Kuita maoni ya wananchi Wako ni upuuzi ni ulevi wa madaraka uliopitiliza Sana, serikali ilipaswa kumjibu kwa hoja kuhusu reform...
 
Haahaa 4R za mama zimekufa kifo Cha mende, kwa sasa wapinzani wake serious ni kuwafungulia makesi makubwa Ili yeye apite bila kupingwa🤣🤣
 
Wametengeneza lipicha la shungi tupu eti kujibu mapigo!
Oktoba wanatiki!✓ Kila wakipost chochote wanafunga comment sections! Soon watazima internet!
Mtiti wa No Reforms No Elections ni balaa!

#No Reforms #No Elections
 
No reforms -No election
 
Wakristo ni wengi kuliko waislamu Tanzania....hii takwimu umeitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…