Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

Huyo Msigwa ndiye mpumbavu kabisa,hajui sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Basi watuambie habari zao huko mtandaoni wapuuzu wenyewe kina serikali, mwaka huu tutawanyoosha washazoea kutuona sisi mazombwi. Tutawanyoosha mxiuuuu
 
Lijinga hili. Limeshavimbiwa na mali za wizi halioni mbele.
 
Eti asilimia kubwa ya watanzania ni wakristo, serious??Utafiti wa wapi huu??
 
Sawa hata unitukane, ila nitaendelea kuwa upande wa ndugu zetu waislamu, na sio upande wa makafiri wanywa damu za watoto, wamama na wazee. Nadhani umenielewa ewe dada.

Free palestine 🇵🇸
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Na ndio ukweli wenyewe✍️✍️

Wana jamii forums hash tag ya No reforms no election imetibua Hali ya hewa wanufaika wa keki ya Taifa wameanza kutoa milio eti ni upuuzi,kanyagieni hapo hapo,Kila comment ya machawa tia Neno no reforms no election,twende sasa.
No Reforms, No election!
 
No Reforms No Elections
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…