Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
komaa apo apo walioanzisha hashtag mda wowote waasepe nje ya nchi
No Reforms, No electionsKwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
ccm wanashinda uchaguzi umesahau 🤣Ccm wanafra,ccm wanateka,ccm wanabak
kaka wa red breged nakuonaNo Reforms, No elections
Kwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
Sijui kwanini mnakuwa na akili finyu kiasi hikiKwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
mtoto wa nani uyu
auna video ingine zaidi ya hii heche 🤣 🤣 , au nkutumie za slaa akiwasifia kwa kutekana
Ukisha kuwa chawa nibsawa na kuwa mke wa mtu huwa hutumii akili sawa tuseme wewe ni mke mdogo wa lema.. 😆😆😆Kwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
auna video ingine zaidi ya hii heche 🤣 🤣 , au nkutumie za slaa akiwasifia kwa kutekana
Mkuu jibu limefanana na nilivyo waza huyu hana akili hata kidgo tamaa ya kupewa nauli na ajira inamfanya asahau haki zake na nchj yakeSijui kwanini mnakuwa na akili finyu kiasi hikiView attachment 3361067
Wewe nakuweka ignore list by trashKwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
ukishakua chama flan unakua kama mke wa heche leo unamponda magufuli kesho unamsifia 🤣Ukisha kuwa chawa nibsawa na kuwa mke wa mtu huwa hutumii akili sawa tuseme wewe ni mke mdogo wa lema.. 😆😆😆
Nikweli kabisa watoto wao hatuwaoni kama ambavyo hatuwaoni watoto WA CDF; IGP; PM; VP na vigogo wengine. Hii No reform no election NI ya Sisi watu Baki.Kwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
fanya chapWewe nakuweka ignore list by trash
Na mkumbushe abdul anakula maisha dubai kwa kodi zake je yeye ana hali gani. Ukute umenunuliwa bando la 10k ili utusumbue na ujinga wako. Ila wewe tukimuwahi unaponaWewe mama yako ni Samia au kikwete? , mbona hatujamuona Abduliiii akianzisha nyuzi za kumsifia chura kiziwi kama unavyofanya wewe?. View attachment 3361070