NRNEHudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
huo uchaguzi wananchi wameukataa bila reforms, sasa nani ataenda kupiga kura kama si wapuuzi watupu?Uchaguzi upo hata bila reforms
No reform no electionHuo hautakuwa uchaguzi bali uchafuzi.
No reform no electionWananchi washatambua nini maana ya No reform No election. Wahubiri Amani ni Matapeli na Madalali wa kuuza Nchi
Komenti itasaidia nini kuongeza kura kwenye uchaguzi?? Hivi bado mna ndoto ya kuzuia uchaguzi? Tatuteni kura wazee baadaye msije kuilalamikia ccm inaiba kura, wakati mpaka sasa hamna mchakato wowote wa kujiandaaWana jamii forums hash tag ya No reforms no election imetibua Hali ya hewa wanufaika wa keki ya Taifa wameanza kutoa milio eti ni upuuzi,kanyagieni hapo hapo,Kila comment ya machawa tia Neno no reforms no election,twende sasa.
we usiende wapo watakaoenda kupiga .Anatuita wapuuzi tunaotaka mabadiliko siyo?
Sasa tutaona hiyo October kama Kuna mtu ataenda kupiga kura zaidi yao na kupe/machawa wao.
sio bure tunaitwa Kenge, kwani serikali imetokana na nani kama sio wananchi, ni ajabu mwananchi unajiona inferior kwa watu ambao wewe ndiye umewaweka madarakani wakutumikieWanakera sana na hiyo no reform, hii jeuri ya reform tunaiona mtandaoni tu ngoja oct kama utaona mtu anaweza kushindana na serikali.
Mapigano sio mazuri
NO REFORM NO ELECTIONView attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
Mwanzo nilijua wewe ni MuislamuHudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
Waislamu ni wengiEti asilimia kubwa ya watanzania ni wakristo, serious??Utafiti wa wapi huu??
Wakristo ni wengi kuliko waislamu Tanzania....hii takwimu umeitoa wapi
I care about Palestine more than I care about Tanzania.Allah atamfanyia wepesi mama yetu
Free palestine 🇵🇸
Ni mkristu mkatoliki tangu kuzaliwa kwangu na naipenda imani yangu.Mwanzo nilijua wewe ni Muislamu