stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
hahaha alafu kikinuka jamaa anaruka na chopaNikweli kabisa watoto wao hatuwaoni kama ambavyo hatuwaoni watoto WA CDF; IGP; PM; VP na vigogo wengine. Hii No reform no election NI ya Sisi watu Baki.