hahaha alafu kikinuka jamaa anaruka na chopaNikweli kabisa watoto wao hatuwaoni kama ambavyo hatuwaoni watoto WA CDF; IGP; PM; VP na vigogo wengine. Hii No reform no election NI ya Sisi watu Baki.
Sawa ila acha tukuwahishe hospitalini utapona ugonjwa wa akilifanya chap
file lako mbna tushalifikisha dodoma ni wewe tu kujipeleka uanze matibabuSawa ila acha tukuwahishe hospitalini utapona ugonjwa wa akili
Pia kikinuka abdul yupo dubai na mama ata paa kwa ndege za nchi ww utakua upo una pelekewa moto na gen zhahaha alafu kikinuka jamaa anaruka na chopa
wakilianzisha si viongozi wanakimbia wanabaki watu baki
sasa ccm sera yao ni amani kwahio uhakika wa amani upoPia kikinuka abdul yupo dubai na mama ata paa kwa ndege za nchi ww utakua upo una pelekewa moto na gen z
Matibabu ya kukataa kuuzwa kwa nchi yangu itakua ni dhawabu kwa Mungu na uzao wa baadae tanganyikafile lako mbna tushalifikisha dodoma ni wewe tu kujipeleka uanze matibabu
Aman na watu wanatekwa na kufa eti kifo ni kifo una ukichaa sio buresasa ccm sera yao ni amani kwahio uhakika wa amani upo
Mdau! Umaskini utakumaliza.Kwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
Mambo yasiyokuhusu achana nayoKwa taarifa nlizonazo ni watoto wa Lema hawapo nchini, na yeye mwenyewe alikua mbioni kusepa juzi watoto wa Lisu na mkewe wapo nje toka mda, Vijana msitumike vibaya na waroho wa madaraka
we ni useless, ndo maaana mnakuuliwa alafu ubunge anapewa lema mnabaki kusema i died for chadema 🤣 🤣 🤣Matibabu ya kukataa kuuzwa kwa nchi yangu itakua ni dhawabu kwa Mungu na uzao wa baadae tanganyika
sawa tajiriMdau! Umaskini utakumaliza.
Ww umepewa nn zaidi ya ujinga..?we ni useless, ndo maaana mnakuuliwa alafu ubunge anapewa lema mnabaki kusema i died for chadema 🤣 🤣 🤣
sio amri ni uzi tu wa kufuata atafuataMambo yasiyokuhusu achana nayo
utajuaje? but atleast sina ufala wa kujisifia kupoteza uhai 🤣 🤣Ww umepewa nn zaidi ya ujinga..?
anasema hakuna hospitali tanzania ya bega 🤣 🤣2020 waliwahakikishia wazungu wao watashinda uchaguzi. Wakapewa na Wakili Mr. Amsterdam.
Mwaka huu wamewakikishia kuwa wanaweza kukinukisha. Ofisi ya kuratibu ikawekwa Nairobi mapema.
Viongozi Sasa wanaelekea huko kwa kisingizio cha kutibiwa mabega.
Unachanganya mambo hadi unaonekana umechanganyikiwa.2020 waliwahakikishia wazungu wao watashinda uchaguzi. Wakapewa na Wakili Mr. Amsterdam.
Mwaka huu wamewakikishia kuwa wanaweza kukinukisha. Ofisi ya kuratibu ikawekwa Nairobi mapema.
Viongozi Sasa wanaelekea huko kwa kisingizio cha kutibiwa mabega.