Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Hakuna cha shamba darasa wala sijui kosa halitorudiwa
Haya mambo kila mara yanajirudia tu
Ukweli utabaki,kuwa bongo majanga hatuwezi kukabiliana nayo period
Majanga yakitokea hesabu kufa tu

Ova
 
Kazi maalum zipi hizo, au siku itoke top kiongozi wakidumbikia ziwani
Ndiyo ikaokoe

Ova
 
Wapuuzi kama huyu mleta mada unapeleka lupango tu kama una mambo ya maana ya kufanya.

Ujinga mtupu ata sijui unaanzia kuujibu wapi.

Such an ignorant society
Anadhani aerial cranes zinaokotwa huko zinapotengenezwa, hajui kuna michakato ya bajeti inajumuishwa katika manunuzi.

Hajui kuwa hizi taasisi hukaa kila baada ya muda fulani na kujifanyia tathmini za kina. Ununue aerial crane leo halafu ajali isitokee kwa miaka 35 haoni kuwa hiyo ni hasara ya pesa za taifa.
 
Divers huko BK watoke wapi?. Divers wako Yatch Club na Zanzibar na sio BK, tukubali tukatae what we did is the best we could!.
P
Mafia yenyewe kuna madivers wengi tu mbona ...achana na hao wa yatch club
Wami yenyewe kuna madivers asilia mbona,matukio mengi pale wao ndy huwa mstari wa mbele kusaidia
Labda nyie kwenye taasisi zenu ndy hamna madivers
Kwanza vikosi vyenu vya uokoaji kuogelea hawajui,first aid hawajui kutoa,CPR Hawajui mambo kibao hawajui

Ova
 
Divers huko BK watoke wapi?. Divers wako Yatch Club na Zanzibar na sio BK, tukubali tukatae what we did is the best we could!.
P

Na hapo ndipo tunapokwama, sababu sisi ni moja ya nchi iliyo sehemu ya ziwa kubwa kuliko yote Afrika, na ndani yake kuna shughuli za kiuchukuzi zinafanyika lakini hatuna coastal guards au kitengo cha dharura cha namna hiyo...

Naona tabu tuliyopata wakati wa ajali ya MV Bukoba kwa kuomba divers toka SA naona haikutufunza kama kawaida yetu...
 
Acha upuuzi .Ingenyanyuliwa ndani ya saa moja maji yangetoka kungekuwa na vifo vichache

Inaonesha huna knowledge ya engineering, unawaza kama layman tu...

Mtu anayewaza kwamba ndege ile ingenyanyuliwa chap, hana tofauti na yule aliyeamua kuanza kuivuta pasipo kujua hali ya watu waliopo ndani ikoje...
 
That’s not even its purpose in emergency settings.

Usiangaike na kila kiazi kwenye hili jukwaa.

Hizo dhana zinaweza kuwa na umuhimu kwenye kutoa wreckage, ila sio kuokoa maisha.

Wabongo awataki kuambiwa ukweli ila kwa wabeba maboksi iwe ofosini au warehouse wote wanajua fire drills, emergency ikitokea kutokana na majengo yao kila mtu anajua cha kufanya kabla ya msaada wa nje aufika.

Hayo ndio matakwa ya cabin crews pia, wangefanya wanayotakiwq kufanya on time ivyo vifo visingetokea.

Good morning
 
Inaonesha huna knowledge ya engineering, unawaza kama layman tu...

Mtu anayewaza kwamba ndege ile ingenyanyuliwa chap, hana tofauti na yule aliyeamua kuanza kuivuta pasipo kujua hali ya watu waliopo ndani ikoje...
Nyie si ndio mliitoboa Mv Bukoba ili kuchomoa watu mainjinia mavi
 
Haya ndiyo mambo unapaswa kuleta JF!Siyo vile unavyoviandikaga.Umebadilika leo.Safi!
 

We mtu mzima ila ni mjinga.

Umewahi kusikia habari za Flight 1549 au Miracle of Hudson?

Nchini US, 2009 Ndege ilianguka kwenye maji ikiwa na abiria 155. Na wote waliokolewa wakiwa hai.

Ukisoma story za hiyo ndege utaelewa nini maana ya uwajibikaji.


Siyo upumbavu tunaokaa tunatetea humu bongo.
 
Siasa na taaluma ni maji na mafuta mkuu.

Kabisa, unaandika hivyo kutetea ujinga?

Kwahiyo unamaanisha nini kusema zipo mahali zinasubiritukio?
MV Spice, hatukuziona, sijui nini tena pale Nungwi kimya, moto Mt Kilimanjaro mkasemaje?

Itoe hata mali za watu basi ikiwapona hiyo ndege!

Patheticians
 
Appreciate my foot! Angekuepo mtoto wa mama au Msoga humo ndani ya ndege, Nina ukika kungekua na rapid respond.
 
Sawa bwana Pisikali umeeleweka
 
We have incompetent bunch of leaders hili taifa haliwezi songa mbele hata siku moja. Magufuli tried alot kuonesha dira ila kwa sasa tumerudi kwenye hopelessness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…