Gerson Msigwa: Matunda Matamu Ya Siku 150 Za DP World Bandarini, Serikali Yakusanya Billion 325

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na kuwapunguzia Utamu .

soma hapo chini👎

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matunda ya uwekezaji wa DP World katika Bandari ya Dar es salaam yameanza kuonekana ambapo katika kipindi cha miezi mitano tangu ianze kuendesha Bandari hiyo Serikali ya Tanzania imekusanya Tsh. bilioni 325

Akiongea Jijini Dar es salaam leo December 19,2024, Msigwa amesema “Tumeanza kuona matunda matamu ya DP World ndani ya kipindi kifupi sana, tangu kampuni ya DP World Dar es salaam ianze uendeshaji katika Bandari ya Dar es salaam mwezi April 2024, tumepata mafanikio yafuatayo, kwa mujibu wa mkataba kampuni ya DP World ambayo kwetu Tanzania inakuwa DP World Dar es salaam inapaswa kuwekeza USD mil 250 (Tsh.bilioni 675) katika kipindi cha miaka mitano, sasa katika kipindi cha miezi mitano tu tayari kampuni hii imeshawekeza Tsh. bilioni 214.425 na hii ni sawa na 31% ya uwekezaji tuliotarajia katika kipindi cha miaka mitano”

“Maana yake huko nyuma kulikuwa na maneno tumeweka Wasanii sijui nini watakuja sasa hapa kwa lugha ya Kikinga we mean business na tutasimamia mkataba huu kuhakiksha maslahi ya Watanzania yanalindwa”

“Ukarabati wa mitambo iliyokuwa ya TPA imefanyika na usimikaji wa mifumo ya TEHAMA ya uendeshaji wa Bandari umefanyika, sasa manufaa mengine ambayo wakati ule tuliyaimba sana tukaitwa Wasanii na mambo mengine mengi, wastani wa muda wa meli kusubiri wakati ule meli zetu zilikuwa zinasubiri siku 46 nyingine hadi siku 70 lakini sasa hivi meli zinasubiri kwa siku 7 maana yake tunapunguza gharama ambazo Serikali kupitia TPA imekuwa ikiwalipa wenye meli kutokana na meli zao kusubiri muda mrefu kushusha mizigo, na hiyo ni wastani lakini zipo meli hazisubiri kabisa, meli za makasha hakuna kusubiri zikija zinashusha zinaondoka”

“Tunaendesha bandari kwa faida, tulikuwa tunaendesha bandari kwa hasara, katika kipindi cha miezi mitano tangu DP World waanze kazi Serikali imefanikiwa kukusanya Tsh. bilioni 325.3 ikiwa ni mapato yanayotokana na shughuli za mikataba iliyoingia kati ya TPA na DP World, haya ni maeneo ambayo tulipotoshwa sana tumeanza kupata faida”
#MillardAyoUPDATES

Screenshot_20241219-163415_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
#MillardAyoUPDATESView attachment 3180294

kazi kazi, maokoto na maendeleo ndio mpango mzima 🔥💪👊

well done Dr Samia Suluhu Hassan 🌹
 
Ww kilaza mbona husemi Dp wametuibia ngapi?
 
Tunaviongozi matapeli sana hii nchi.unafurahia mizigo kupakuliwa Kwa wiki nzima wakati bandari ya Mombasa ndani ya masaa24 meli inapakuliwa mzigo wote pamoja na kwamba banda.
 
Team Mapambio kazini 😃 hizo hela zimeenda wapi!??
Kwani wewe ni kipofu mpaka huoni ziliko kwenda? Kwamba huoni barabara zikiendelea kujengwa?huoni shule za msingi kwa sekondari zikiendelea kujengwa?huoni mishahara ya watumishi wa umma ikiendelea kuwahi kutoka? Huoni ajira kwa vijana zikiendelea kutolewa? Huoni huduma za afya zikiendelea kuboreshwa? Huoni namna madawa ,vifaa tiba na wataalamu wa afya wakiendelea kujaa katika vituo vya afya mpaka hospitali za kanda mpaka Taifa? Huoni namna serikali inavyotoa ruzuku katika kilimo? Huoni serikali namna inavyonunua mazao ya wakulima kwa bei nzuri na yenye kuleta tabasamu kwa wakulima?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na kuwapunguzia Utamu .

soma hapo chini👎

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matunda ya uwekezaji wa DP World katika Bandari ya Dar es salaam yameanza kuonekana ambapo katika kipindi cha miezi mitano tangu ianze kuendesha Bandari hiyo Serikali ya Tanzania imekusanya Tsh. bilioni 325

Akiongea Jijini Dar es salaam leo December 19,2024, Msigwa amesema “Tumeanza kuona matunda matamu ya DP World ndani ya kipindi kifupi sana, tangu kampuni ya DP World Dar es salaam ianze uendeshaji katika Bandari ya Dar es salaam mwezi April 2024, tumepata mafanikio yafuatayo, kwa mujibu wa mkataba kampuni ya DP World ambayo kwetu Tanzania inakuwa DP World Dar es salaam inapaswa kuwekeza USD mil 250 (Tsh.bilioni 675) katika kipindi cha miaka mitano, sasa katika kipindi cha miezi mitano tu tayari kampuni hii imeshawekeza Tsh. bilioni 214.425 na hii ni sawa na 31% ya uwekezaji tuliotarajia katika kipindi cha miaka mitano”

“Maana yake huko nyuma kulikuwa na maneno tumeweka Wasanii sijui nini watakuja sasa hapa kwa lugha ya Kikinga we mean business na tutasimamia mkataba huu kuhakiksha maslahi ya Watanzania yanalindwa”

“Ukarabati wa mitambo iliyokuwa ya TPA imefanyika na usimikaji wa mifumo ya TEHAMA ya uendeshaji wa Bandari umefanyika, sasa manufaa mengine ambayo wakati ule tuliyaimba sana tukaitwa Wasanii na mambo mengine mengi, wastani wa muda wa meli kusubiri wakati ule meli zetu zilikuwa zinasubiri siku 46 nyingine hadi siku 70 lakini sasa hivi meli zinasubiri kwa siku 7 maana yake tunapunguza gharama ambazo Serikali kupitia TPA imekuwa ikiwalipa wenye meli kutokana na meli zao kusubiri muda mrefu kushusha mizigo, na hiyo ni wastani lakini zipo meli hazisubiri kabisa, meli za makasha hakuna kusubiri zikija zinashusha zinaondoka”

“Tunaendesha bandari kwa faida, tulikuwa tunaendesha bandari kwa hasara, katika kipindi cha miezi mitano tangu DP World waanze kazi Serikali imefanikiwa kukusanya Tsh. bilioni 325.3 ikiwa ni mapato yanayotokana na shughuli za mikataba iliyoingia kati ya TPA na DP World, haya ni maeneo ambayo tulipotoshwa sana tumeanza kupata faida”
#MillardAyoUPDATESView attachment 3180294

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hayo mapato Kenya watatucheka sana
 
Back
Top Bottom