Gerson Msigwa: Matunda Matamu Ya Siku 150 Za DP World Bandarini, Serikali Yakusanya Billion 325

Acheni basi zile zilikua danganya toto...nyie bado mnakumbuka 😂😂
Naona wivu unawasumbueni sana kwa sasa. Hampendi kuona tukfanikiwa japo mkiwa pembeni mnakubali wenyewe kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu Mpendwa
 
Si mlisema trillion 2 Kwa mwezi zipo wapi?
 
Wao DP world wamepata kiasi gani maana wanakusanya trillion 2 kila mwezi harafu sisi wanatupa billioni 10 tu
 
Ok
Naona wivu unawasumbueni sana kwa sasa. Hampendi kuona tukfanikiwa japo mkiwa pembeni mnakubali wenyewe kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu Mpendwa
Mzee nitolee uchawa wako apa nakula kwa hela yangu, kwa jasho langu, serikali yako ya CCM haina msaada kwangu, wapate bilion wapate trillion mwisho wa siku v8 ni za Mama samia na wateule wake wananchi wa kawaida tunakula kwa jasho letu.
 
Ndio ni lazma ile kwa jasho lako kwenyewe.Au ulitaka ule kwa jasho langu huku ukibubujikwa na machozi. Kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi na rafiki huku ikiendelea kutoa na kusogeza karibu huduma zote muhimu.
 
So what the https://jamii.app/JFUserGuide should i care about?
 
Wamekusanya hizo,hamjatuambia wakitoa gharama zote chengi ni kiasi gani. Tunaomba jibu. Kama makusanyo ya DPW yamefanya hayo yote uliyosema,hakuna haja tena kwa watanzania kulipa kodi yoyote. DPW hoyeeee.
 
Kodi ni lazima uendelee kulipa maana ndio msingi wa Maendeleo wa Taifa lolote lile.
 
Msigwa anatuona watanzania wajinga sana????

Kabla ya hapo ilikuwa 901 kwa mwaka, ambapo ukigawanya unapata 75 kwa mwezi, wakati hiyo unapata 65 billion kwa mwezi!!

Huyu jamaa anatuona watanzania kama KENGE sio🤔🤔
 
Ujinga mtupu, serikali ilitakiwa ikusanye trillion 1 kwa mwezi kutoka bandarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…