Gerson Msigwa: Matunda Matamu Ya Siku 150 Za DP World Bandarini, Serikali Yakusanya Billion 325

Ujinga mtupu, serikali ilitakiwa ikusanye trillion 1 kwa mwezi kutoka bandarini
Hela ndogo sana aese! Najiuliza hivi wabongo tunaweza kusimamia kitu gani? Maana mambo yanaenda hovyo hovyo tu!
 
Hizo ela anaingiza mo kwa biashara zake tuu ...
 
Yani Bil 2.16 ni hela ya kufurahia kupata mapata ya bandari kama Dsm ambapo nchi zaid ya 8, wanategemea bandari hii? 😳 Tafsiri yake hata icho kiasi kimepikwa na wameona ni hela nyingi, hivyo mwanzoni ilikuwa pungufu zaidi ya hapo, Aiseee 🤔 huku sio kuiba nikusombelea hela mifukoni kwa watu😳😳🥺
 
Acha wivu wako hapa wewe
 

Na Hii habari ya Msigwa na bilioni 901 mmeisahau? Ccm kwa namba hovyo kabisa
 
Kwa hakika Watanzania wamefurahi sana kuona namna jitihada na juhudi za Mheshimiwa Rais kuvutia wawekezaji na uwekezaji zikizaa matunda ndani ya muda mfupi sana.
Vipi shati lako la ccm limeboreshwa au ni Lile Lile la kitenge Hela si imeingia. Mama atakushonea na suruali ya kitenge
 
Binafsi naona hiyo milions 600+ iliyokuwa imewekwa ni ndogo sanaa kulingana na mapato yanayopatikana pale. Walau mkataba ungesema Bil 2000 kidg ingekaa vzr. Lakini si mbaya madam tumejifunza, next time serikali yetu itaset mikataba mizuri
 
Aya bhana! Kwahiyo hizo hela ni za watanzania au hela za samia?? Team Mapambio bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…