Gerson Msigwa: Matunda Matamu Ya Siku 150 Za DP World Bandarini, Serikali Yakusanya Billion 325

Kwa mwaka ni kama bilioni 670 hivi. Kabla walikuwa wanakusanya ngapi?
 
Haya futeni sasa tozo
 
Nyinyi endeleeni tu kuchezea mali za watanzania, kuna siku mambo yatabadilika mtakua mnapishana rumande makundi kwa makundi. Mtawaambia watu huo utajiri mlio nao mliupata kwa mfumo gani, document zipo na mashahidi watakua watanzania wenyewe.
 
Unateseka ukiwa wapi huko? Maana hueleweki unachokiandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…