Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Pako salama wakati watu wanawatafuta ndugu zao as of 29th October, 2025"Niwahakikishie wana Morogoro na Watanzania wote kwa ujumla kwamba nchi yetu ni shwari, tena shwari sana. Nchi yetu ina amani ya kutosha na Watanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Na napenda kuchukua nafasi hii kuwatia moyo Watanzania, msibabaiwshwe na maneno yanayotembea mitandaooni ya kuwavunja moyo, ya kuwatishia, ya kuwatia wasiwasi. "
"Nchi yetu ni salama, fanyeni kazi zenu vizuri. Mashambani nendeni mkalime mkiwa na amani kabisa. Wale mnaofanya kazi, fanyeni kazi iwe ni serikalini, iwe ni katika kampuni binafsi fanyeni kazi zenu kwa amani. Nchi yenu iko salama, serikali inatekeleza majukumu yake kama kawaida na kila kitu kinakwenda vizuri.
Mtu asiache kupanga mipango yake ya maendeleo akasikiliza watu ambao wanasema, "hapakaliki." Tanzania panakalika, pako salama na Watanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, viongozi nao wanatekeleza majukumu yao."
God damn this sonofabitch! Nchi haiwi salama kwa kuwa declared tu kwamba iko salama.Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema;
"Niwahakikishie wana Morogoro na Watanzania wote kwa ujumla kwamba nchi yetu ni shwari, tena shwari sana. Nchi yetu ina amani ya kutosha na Watanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Na napenda kuchukua nafasi hii kuwatia moyo Watanzania, msibabaiwshwe na maneno yanayotembea mitandaooni ya kuwavunja moyo, ya kuwatishia, ya kuwatia wasiwasi. "
"Nchi yetu ni salama, fanyeni kazi zenu vizuri. Mashambani nendeni mkalime mkiwa na amani kabisa. Wale mnaofanya kazi, fanyeni kazi iwe ni serikalini, iwe ni katika kampuni binafsi fanyeni kazi zenu kwa amani. Nchi yenu iko salama, serikali inatekeleza majukumu yake kama kawaida na kila kitu kinakwenda vizuri.
Mtu asiache kupanga mipango yake ya maendeleo akasikiliza watu ambao wanasema, "hapakaliki." Tanzania panakalika, pako salama na Watanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, viongozi nao wanatekeleza majukumu yao."
Msigwa ni kielelezo tosha Utawala wa CCM uko mwisho, tangu October 29, hakuna siku imepita bila kutaja matukio ya October 29Mbona sasa yeye ndio anababaika..?
Anaweweseka kwa ukatili waliomfanyia ndugu yake Humphrey Polepole.Msigwa ni kielelezo tosha Utawala wa CCM uko mwisho, tangu October 29, hakuna siku imepita bila kutaja matukio ya October 29
Tuendelee kushambulia watasalim amri tu.Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema;
"Niwahakikishie wana Morogoro na Watanzania wote kwa ujumla kwamba nchi yetu ni shwari, tena shwari sana. Nchi yetu ina amani ya kutosha na Watanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Na napenda kuchukua nafasi hii kuwatia moyo Watanzania, msibabaiwshwe na maneno yanayotembea mitandaooni ya kuwavunja moyo, ya kuwatishia, ya kuwatia wasiwasi. "
"Nchi yetu ni salama, fanyeni kazi zenu vizuri. Mashambani nendeni mkalime mkiwa na amani kabisa. Wale mnaofanya kazi, fanyeni kazi iwe ni serikalini, iwe ni katika kampuni binafsi fanyeni kazi zenu kwa amani. Nchi yenu iko salama, serikali inatekeleza majukumu yake kama kawaida na kila kitu kinakwenda vizuri.
Mtu asiache kupanga mipango yake ya maendeleo akasikiliza watu ambao wanasema, "hapakaliki." Tanzania panakalika, pako salama na Watanzania wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, viongozi nao wanatekeleza majukumu yao."
Sipati picha mama anajilaumu vipi jamani yarabi 😭!Msigwa, kuna ndugu mwanaume, mke wake alijifungua Hospitali ya Wilaya Kahama siku ya October 29 2025.
Mke wake akaomba maji ya kunywa ikabidi ndugu atoke nje akanunue maji dukani, mpaka leo hajarudi ametafutwa kila sehemu hajaonekana Msigwa tupatie maiti yake tumzike.
Huyo ni MKANUSHAJI MKUU wa serikali!.Hii kazi ya huyu jamaa ni ngumu Sana