Gerson Msigwa: Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake

Gerson Msigwa: Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake kama Mwandishi na usimnyanyase kwenye majukumu yake ya kazi. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kufanya kazi hata katika mazingira magumu.

Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kulinda matumaini ya Waandishi wa Habari kwani nyie kama muhimili wa nne usiyo rasmi mkikata tamaa mtakuwa mmepoteza matumaini ya wananchi"

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, (World Press Freedom Day 2025) yaliyofanyika jijini Arusha leo Aprili 29, 2025 kwenye Hoteli ya Gran Melia

 
Shida ilianza pale wenye akili walipoamua kujitenga na siasa alafu wapumbavu na wendawazimu wakatumia huo upenyo kuingia kwenye siasa na wamekua watawala
 
Back
Top Bottom