PostGE2025 Gerson Msigwa: Nimesoma uandishi wa habari 'It is Unprofessional and unacceptable to publish bad taste images'

PostGE2025 Gerson Msigwa: Nimesoma uandishi wa habari 'It is Unprofessional and unacceptable to publish bad taste images'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kingreza cha kukariri, mbona alimkimbia Madowo wa cnn kutoa ufafanuzi wa yaliyojiri 29 oct?!.

Chezea yai la kuongea cnn, angeaibika mjinga mmoja huyu!

By the way hiyo tume ya uchunguzi ni takataka, lengo lake ni kusafisha uchafu wa samuya hilo liko wazi kabisa...tumeishtukia mapeema kabisa!.
 
Msigwa vyombo vya habari vya kimataifa vilichapisha picha na video mbaya inamaana tume ya mshukiwa haitokuja na video zozote za mauwaji.

Tegemeeni tume ya samia kuja na maneno tupu na sio video walizo chunguza kulingana na maneno ya msigwa.
 
Naomba waliosoma uandishi wa habari kama Msigwa mtuelezee hapa anamaanisha nini:BBRUHH:

Yaani ku-publish ukweli ni unacceptable kwa kuwa ni ukweli unaotia uchungu na majonzi, is this dude serious? Bila ya kuuanika ukweli watu watafahamuje yaliyotikea?
Msigwa kama ku-publish hayo mauaji(images za mauaji) ni unacceptable mbona hautuelezi kama kuua kule kulikofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama ni acceptable au ni unacceptable?
 
Walichokifanya CNN ni ukiukwaji wa haki za binadam wajitokeze hadharani waombe radhi
 
Wanataka kusema kwamba AI hapa TANZANIA imepokelewa vizuri hadi kufikia kila mtu anajua kutengeneza video za mauwaji kupitia AI. Kuendelea kuficha ukweli wanaongeza tension ya watu kuzungumza ukweli...
 
Naomba waliosoma uandishi wa habari kama Msigwa mtuelezee hapa anamaanisha nini:BBRUHH:

Umesomea uandishi wa habari nchi gani fala wewe? Kwenye ukweli hapafichwi chochote mpumbavu wewe. Mbona kwenye Nazi concentration camps (Makambi)ya Auschwitz na Buchenwald na kwingine tuliona watu wakiteswa live kwenye video, na wengina wakiwa very emaciated and naked. Kwenye ukweli lazima dunia nzima ijue (Haiwezi kuwa siri wakati watu wameuawa), kwani kama ulikuwa unaogopa haya kutokea kwanini mliua? Na mkazika kwenye makaburi ya halaiki. Eti inashtua???Kitu gani inashtua zaidi ya kutoa uhai wa mtu? Ndiyo maana mlifunga internet ili huyo bibi wenu mchawi mwenye kuleta waganga hadi bungeni aendelee kuua. Soon mtajibu hayo yote ICC fala wewe.
 
Back
Top Bottom