Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
So watu wameuliwa na picha zilizopo ni za mauaji na damu huyu mkubwa alitaka watu wapost picha za maua, madaraja, tembo, miss Tz, diamond na zuchu au tumpost wasira na koti lake? Watu wana majonzi anataka kuwapangia namna ya kulia?
Yani uumize watu halafu uwapangie namna ya kuomboleza maumivu yao? Atakuwa chizi soon huyu mbaba
Yani uumize watu halafu uwapangie namna ya kuomboleza maumivu yao? Atakuwa chizi soon huyu mbaba
