Walichokifanya CNN ni ukiukwaji wa haki za binadam wajitokeze hadharani waombe radhi
Ona shetani pumbavu jingine hili hapa.
Hakuna wa kuomba radhi. Hata ninyi wauaji mkisema mnaomba radhi, hamtakubaliwa. Ninyi ni wa kukamatwa na kufikishwa kwenye mahakama za kweli, mfungwe maisha, lakini hapa nyumbani mkiwa mmehukumiwa kunyongwa hadi kufa.
