Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Wakuu,
Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na uchaguzi unaandaliwa, sasa mtu kama ana mambo yake ayapeleke kwenye mamlaka yatafanyiwa kazi, lakini hauwezi kukurupa ukasema hakuna uchaguzi.”
“Tumejipanga kuhakikisha maandalizi yote ya uchaguzi yanafanyika, ili watanzania watumie haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.”