Pre GE2025 Gerson Msigwa: Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja

Pre GE2025 Gerson Msigwa: Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?

Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
Nakazia hapo kwa kuongezea masisiemu yameshatujua sisi ni majinga hatuwezi kuwafanya chochote na ni kweli sisi watz tuwajinga😬
 
So unakubaliana na Lissu na Chadema kuwa chombo hiki hakiko free sio?

Kwa swali lako unaamaanisha kuwa watu wanaoteuliwa na Rais wanakuwa controlled na Rais?

Anachofanya Msigwa kwa wenye akili hata wasio na akili anathibitisha hoja ya Chadema kuwa Tume sio chombo huru na anathibitisha kuwa No Reform No Election
Husitafsiri swali, jibu hoja! Nitajie nchi ambayo wewe unasema tume ya uchaguzi ipo huru kwelikweli, nitajie walau nchi 1 tu, pia unaweza kuongeza kama unazifahamu zaidi
 
Ukiwa mfaidika wa system uwezi kuona uozo, upo tayari kutetea hadi ujinga
 
Ukiwa mfaidika wa system uwezi kuona uozo, upo tayari kutetea hadi ujinga
1739975497479.png
ni kuilinda afya yako ya akili, ili usiwe victim wa Major depressive disorder (MDD)
Remember "THE WORLD IS LIVING, SUFFERING IS YOUR CHOICE" :CaptFailFish:
 
siyo watu wa mfumo, siasa ni career kama zingine, so you always chase the best paying job, yenye mazingira rafiki na security ya kueleweka, ndyo walichofanya hao waheshimiwa :CaptFailFish:

Hapana. Hao ni MALAYA wa Kisiasa.
 
Wakuu,

Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:

“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na uchaguzi unaandaliwa, sasa mtu kama ana mambo yake ayapeleke kwenye mamlaka yatafanyiwa kazi, lakini hauwezi kukurupa ukasema hakuna uchaguzi.”

“Tumejipanga kuhakikisha maandalizi yote ya uchaguzi yanafanyika, ili watanzania watumie haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.”

Mimi nitashiriki uchaguzi kura Siri yangu
 
Duh! Huu mkate utakuwa na siagi
 
Back
Top Bottom