Pre GE2025 Gerson Msigwa: Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja

Pre GE2025 Gerson Msigwa: Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo ni msemaji wa serikali....

Ni wajibu wake kuisemea serikali...

Tume ya uchaguzi ni ya KIDOLA na kazi za kila siku za dola zinasimamiwa na serikali.....

Ndugu Msigwa yuko sahihi.....
 
Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?

Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
Huu ndio ushahidi kwamba hiyo tume ni huru Kwa Jina tu! Uhuni mwingine huu
 
Huyo ni msemaji wa serikali....

Ni wajibu wake kuisemea serikali...

Tume ya uchaguzi ni ya KIDOLA na kazi za kila siku za dola zinasimamiwa na serikali.....

Ndugu Msigwa yuko sahihi.....
Kwa maana hiyo Muhimbili kukitokea tukio, au Mahakama kuu kutokea tukio msemaji ni yeye Msigwa.
 
Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?

Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
U people, u'r lacking the willingness to grant civil liberties to your disliked groups.
 
Back
Top Bottom