Pre GE2025 Gerson Msigwa: Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa ni akili ndogo. Hajui kuwa Mapinduxi mengi duniani yaneanxishwa su kuongozwa na myu moja tu. Aendelee tu kutoa dharau zske kama alivyotumwa... In the Name of the President.
"If you can't beat them, join them" Msigwa, Kitila Mkumbo, Cecil Mwambe, Joshua Nasari, Maulid Mtulia, Zuberi Mohamed, the list goes on and on. Sane people join the cause if they cannot win their argument.

Kwa Tanzania, you never know. Inawezekana ni watu wa mfumo hao.
 
Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?

Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
Mna akili Za kitoto sana….
 
Kuna watu nchi hii ipo siku mifupa yao itafukuliwa na kupigwa pingu,ipo siku
 
Kwa Tanzania, you never know. Inawezekana ni watu wa mfumo hao.
siyo watu wa mfumo, siasa ni career kama zingine, so you always chase the best paying job, yenye mazingira rafiki na security ya kueleweka, ndyo walichofanya hao waheshimiwa :CaptFailFish:
 
Tume haipaswi kuwa sehemu ya Serikali.

Hivi huko CCM mmejazana wajinga eeh?

Huyo ni msemaji wa Serikali. Yaani msemaji wa Serikali anaisemeaje Tume tena mnayoita Huru?
Kwanza mimi sio CCM ni mtu mwenye mawazo huru..

Jibu maswali yangu...
1. Kwani taifa linaundwa na mihimili mingapi?
2. Muhimili upu ni baba, ambao unahudumia mihimili mingine?
3. Tume ya uchaguzi ni muhimili kati ya hiyo mihimili mitatu au ipo ndani ya muhimili mmoja wapo kati ya hiyo mitatu?
4. Tume ya uchaguzi inaundwa na na sheria ipi? Na nani anatunga na kuipitisha hiyo sheria?
5. M/kiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi nani anawateuwa?

Nijibu/jijibu hayo maswali kwanza kabla ya kunikabili kwa kuhemkwa...
 
Kwanza mimi sio CCM ni mtu mwenye mawazo huru..

Najubu maswali yangu...
1. Kwani taifa linaundwa na mihimili mingapi?
2. Muhimili upu ni baba, ambao unahudumia mihimili mingine?
3. Tume ya uchaguzi ni muhimili kati ya hiyo mihimili mitatu au ipo ndani ya muhimili mmoja wapo kati ya hiyo mitatu?
4. Tume ya uchaguzi inaundwa na na sheria ipi? Na nani anatunga na kuipitisha hiyo sheria?
5. M/kiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi nani anawateuwa?

Nijibu/jijibu hayo maswali kwanza kabla ya kunikabili kwa kuhemkwa...
Nikusaidie tu!
Mlibadilisha Sheria yenu mkabadilisha Jina la Tume kuiita Tume Huru ya Uchaguzi! Unajua maana yake?

Maana yake ni chombo huru kinachopaswa kujisemea na kujiratibia shughuli zake. Free from any influence.

Ndo mana kipo pia kwenye Katiba. Kinaweza kuwa kinapata funds zake kutoka Serikalini ila sio sehemu ya Serikali.

Tume hii imeundwa kwa Katiba pamoja na Sheria iliyotungwa na Bunge.

Na mwisho Mwenyekiti na Makamishna pamoja na Mkurugenzi wake wanateuliwa na Rais
 
Naomba nikukumbushe "mimi sio mwanachama wa CCM, isipokuwa ni Mtanzania mwenye mawazo Huru"

Sasa kama wanateuliwa na raisi, msigwa kafanya dhambi ipi kuzungumza vile?

Pia kama unataka Tume ya uchaguzi isiingiliwe kwa namna yeyote ile, inapaswa iwe muhimili unaojitegemea kwa kila kitu. Na hiko ni kitu kisicho wezekana.... kiufupi ni kwamba, ili taasisi yeyote ile iwezekufanya vuzuri lazima kimuundo kuwe na namna ya kuiwajibisha....

Unaweza nitajia nchi 1 tu duniani ambayo inatume huru kwelikweli?...
 
So unakubaliana na Lissu na Chadema kuwa chombo hiki hakiko free sio?

Kwa swali lako unaamaanisha kuwa watu wanaoteuliwa na Rais wanakuwa controlled na Rais?

Anachofanya Msigwa kwa wenye akili hata wasio na akili anathibitisha hoja ya Chadema kuwa Tume sio chombo huru na anathibitisha kuwa No Reform No Election
 
Haingii akilini mgombea mmojawapo ndiye anateua Tume huru ya uchaguzi. Unategemea hiyo tume iache kumptitisha hata kama ameshindwa? Sheria inazidi kukaza kwamba akishatangazwa hakuna kwenda mahakamani.
Tanzania tumesoma sana lakini hatujaelimika au hatujitambui.
 
Back
Top Bottom