Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
NI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
Mr GERSON Msigwa; The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports & Chief Government Spokesperson of Tanzania, hapo je ? @Abraham Lincolnn
Mwambie tu No Reform No Election
Fisiemu hata kisw hawajui, et Kura mhimu-muhimu: jinga nyie!NI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
Angejua tuko wengi sana tunaotaka mambo yawekwe sawa kabla ya uchaguzi. Mbona wanaogopa sana hawa jamaa. Hata wakiwa na Mtume wao mwamposa tutawapiga chini.
Lissu ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani. Anazungumza kwa niaba ya Watanzania waliopp katika chama chake kama jinsi huyo kijana anavyozungumza kwa niaba ya watesi.NI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
Nimetafuta neno "NEC" katika utambulisho wako sijauona, maana yake si mtu sahihi wa kutolea ufafanuzi wa masuala ya Uchaguzi ambayo yanapaswa kuratibiwa na Tume huru ya uchaguzi.Mr GERSON Msigwa; The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports & Chief Government Spokesperson of Tanzania, hapo je ? @Abraham Lincolnn
NI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?Nimetafuta neno "NEC" katika utambulisho wako sijauona, maana yake si mtu sahihi wa kutolea ufafanuzi wa masuala ya Uchaguzi ambayo yanapaswa kuratibiwa na Tume huru ya uchaguzi.
neno NEC hautaliona, lakini huo ndyo msimamo wa NEC/Serikali 😀Nimetafuta neno "NEC" katika utambulisho wako sijauona, maana yake si mtu sahihi wa kutolea ufafanuzi wa masuala ya Uchaguzi ambayo yanapaswa kuratibiwa na Tume huru ya uchaguzi.
mtamwelewa taaratiiibuuHajielewi
Time Will tellNI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
Yupo sahihi kwa mujibu wa nafasi yake...
No reforms No election.NI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
Katika muktadha wa kuonyeshana umwamba anachokiongea ni kweli, lakini kama binadamu tuliostaarabika bila shaka iyo sio njia sahihi ya kumpinga Lissu.NI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
ni muhimu wananchi wote kuelewa na kuichukua kauli hiyo kwa uzito unaostahili.