"If you can't beat them, join them" Msigwa, Kitila Mkumbo, Cecil Mwambe, Joshua Nasari, Maulid Mtulia, Zuberi Mohamed, the list goes on and on. Sane people join the cause if they cannot win their argument.Msigwa ni akili ndogo. Hajui kuwa Mapinduxi mengi duniani yaneanxishwa su kuongozwa na myu moja tu. Aendelee tu kutoa dharau zske kama alivyotumwa... In the Name of the President.
"If you can't beat them, join them" Msigwa, Kitila Mkumbo, Cecil Mwambe, Joshua Nasari, Maulid Mtulia, Zuberi Mohamed, the list goes on and on. Sane people join the cause if they cannot win their argument.
ILI IWEJE???? ILI IWEJE????Mwambie tu No Reform No Election
Msemaji mkuu wa serikali! Na yupo sahihi sana maana mtu mmoja na tumbo lake kubwa hawezi kuzuia uchaguzi
Mna akili Za kitoto sana….Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?
Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
siyo watu wa mfumo, siasa ni career kama zingine, so you always chase the best paying job, yenye mazingira rafiki na security ya kueleweka, ndyo walichofanya hao waheshimiwaKwa Tanzania, you never know. Inawezekana ni watu wa mfumo hao.
Mimi sio CCM, Isipokuwa ni mtu mwenye mawazo huru,Yeye ni Msemaji wa Serikali ya CCM, si msemaji wa Tume ambayo ilipaswa kuwa huru.
Kwanza mimi sio CCM ni mtu mwenye mawazo huru..Tume haipaswi kuwa sehemu ya Serikali.
Hivi huko CCM mmejazana wajinga eeh?
Huyo ni msemaji wa Serikali. Yaani msemaji wa Serikali anaisemeaje Tume tena mnayoita Huru?
Nikusaidie tu!Kwanza mimi sio CCM ni mtu mwenye mawazo huru..
Najubu maswali yangu...
1. Kwani taifa linaundwa na mihimili mingapi?
2. Muhimili upu ni baba, ambao unahudumia mihimili mingine?
3. Tume ya uchaguzi ni muhimili kati ya hiyo mihimili mitatu au ipo ndani ya muhimili mmoja wapo kati ya hiyo mitatu?
4. Tume ya uchaguzi inaundwa na na sheria ipi? Na nani anatunga na kuipitisha hiyo sheria?
5. M/kiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi nani anawateuwa?
Nijibu/jijibu hayo maswali kwanza kabla ya kunikabili kwa kuhemkwa...
Naomba nikukumbushe "mimi sio mwanachama wa CCM, isipokuwa ni Mtanzania mwenye mawazo Huru"Nikusaidie tu!
Mlibadilisha Sheria yenu mkabadilisha Jina la Tume kuiita Tume Huru ya Uchaguzi! Unajua maana yake?
Maana yake ni chombo huru kinachopaswa kujisemea na kujiratibia shughuli zake. Free from any influence.
Ndo mana kipo pia kwenye Katiba. Kinaweza kuwa kinapata funds zake kutoka Serikalini ila sio sehemu ya Serikali.
Tume hii imeundwa kwa Katiba pamoja na Sheria iliyotungwa na Bunge.
Na mwisho Mwenyekiti na Makamishna pamoja na Mkurugenzi wake wanateuliwa na Rais
So unakubaliana na Lissu na Chadema kuwa chombo hiki hakiko free sio?Sasa kama wanateuliwa na raisi, msigwa kafanya dhambi ipi kuzungumza vile?
Pia kama unataka Tume ya uchaguzi isiingiliwe kwa namna yeyote ile, inapaswa iwe muhimili unaojitegemea kwa kila kitu. Na hiko ni kitu kisicho wezekana.... kiufupi ni kwamba, ili taasisi yeyote ile iwezekufanya vuzuri lazima kimuundo kuwe na namna ya kuiwajibisha....
Unaweza nitajia nchi 1 tu duniani ambayo inatume huru kwelikweli?...
PumbufHuyo ni msemaji wa serikali....
Ni wajibu wake kuisemea serikali...
Tume ya uchaguzi ni ya KIDOLA na kazi za kila siku za dola zinasimamiwa na serikali.....
Ndugu Msigwa yuko sahihi.....
DENIALIST syndromePumbuf
Wacha tuoneNI KWELI YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO? LISSU NI KAKITU GANI KWANI?
Mimi ni ME ninalo hilo....Pumbuf