Pre GE2025 Gerson Msigwa: Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?

Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
Nakazia hapo kwa kuongezea masisiemu yameshatujua sisi ni majinga hatuwezi kuwafanya chochote na ni kweli sisi watz tuwajinga😬
 
Husitafsiri swali, jibu hoja! Nitajie nchi ambayo wewe unasema tume ya uchaguzi ipo huru kwelikweli, nitajie walau nchi 1 tu, pia unaweza kuongeza kama unazifahamu zaidi
 
Ukiwa mfaidika wa system uwezi kuona uozo, upo tayari kutetea hadi ujinga
 
Ukiwa mfaidika wa system uwezi kuona uozo, upo tayari kutetea hadi ujinga
ni kuilinda afya yako ya akili, ili usiwe victim wa Major depressive disorder (MDD)
Remember "THE WORLD IS LIVING, SUFFERING IS YOUR CHOICE"
 
siyo watu wa mfumo, siasa ni career kama zingine, so you always chase the best paying job, yenye mazingira rafiki na security ya kueleweka, ndyo walichofanya hao waheshimiwa

Hapana. Hao ni MALAYA wa Kisiasa.
 
Mimi nitashiriki uchaguzi kura Siri yangu
 
Duh! Huu mkate utakuwa na siagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…