"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
Watu walipokuwa wanatekwa na kufirwa hivyo vyombo vilikuwa wapi? Au ni vyombo vilivyo tayari kuteka na kuua kwa maslahi ya viongozi majizi? Tarehe 9 tuko barabarani tena.Vijana washenzi wakisikia vyombo viko tayari wanapagawa.
Wakiweka tu pua tutazikata
Haviwezi kuwa na majibu kama vyenyewe ndivyo vinateka watu.Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati watu wanatekwa na hakuna majibu ya wapi walipo?!
Uko sahihi kabisa tarehe 09122025 kitaeleweka, baada ya hapo tusisikie milio kutoka pande yoyote ile. Watoto wa mjini wanasema tukutane field.Serikali imekuwa ya waimba taarabu kama alivyo kiongozi wake yule shangingi.
Kama wamejipanga maneno mengi ya nini, tukutane Field D9,huko ndo kutajulikana nani alijipanga na nani hakujipanga
Haya mengine ni mbwembwe tu.
Unajua hawa jamaa wanashangaza sana asilimia kubwa ya watu "fulani" wanataka tena kinuke ili na wao wafanye kitu fulani na ni ajabu mpaka leo hawajui hiloAngejua hvyo hvyo vyombo vya usalama wanataman tena panuke
Na kujitamba sana mwanetu. Bravoo.Serikali imekuwa ya waimba taarabu kama alivyo kiongozi wake yule shangingi.
Kama wamejipanga maneno mengi ya nini, tukutane Field D9,huko ndo kutajulikana nani alijipanga na nani hakujipanga
Haya mengine ni mbwembwe tu.
Anamaanisha hayo mabakuli yako tayari kumlinda yeye na wahuni wenzake, nasi tuwe tayari kuwaonyesha tanganyika hatuko tayari kutekwa na kuuwawa.Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati watu wanatekwa na hakuna majibu ya wapi walipo?!
Mkuu WEwe nani msisikie milio,acha kujipa hati miliki ya hii nchi.Uko sahihi kabisa tarehe 09122025 kitaeleweka, baada ya hapo tusisikie milio kutoka pande yoyote ile. Watoto wa mjini wanasema tukutane field.
Mimi ni Ntu tu, tarehe husika haiko mbali, tumeshauriana vya kutosha. Tuone vitendo sasa, ngonjera hazisaidii sana.W
Mkuu WEwe nani msisikie milio,acha kujipa hati miliki ya hii nchi.
Subiri D9.
Hii mikwala haisaidii hata bibi muuaji aliisema,Leo hii kamwangushia zigo huyo jamaa mlopokaji.
Acheni taarabu