PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi ni Ntu tu, tarehe husika haiko mbali, tumeshauriana vya kutosha. Tuone vitendo sasa, ngonjera hazisaidii sana.
Huna lolote,na Mimi ni mtu tu,nakama ungekuwa shujaa unfejisajili kwa picha na majina yako kamili.
 
Haina haja ya kuzozana, nchi hii ni huru, we mwamba kaandamane kwani kuna shida gani. Nadhani hapo kesi imeisha.
 
Wee ndo umekuja kujimwambafai eti usisikie milio na Mimi nakuuliza wewe ni nani,uchawa wako ndo unakufanya ujione una hati miliki ya hii Tanganyika!?
 
1000021263.jpg
 
Vyoambo vya ulinzi au vyombo vya jikoni haijalishi..
tutampokea mgeni km jinsi atavyokuja
9dec tukutane ground!
MBEYA
 
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
Jina la huyu mropokaji liingizwe kwenye list ya watakaosimama kizimbani ICC
 
Mimi ni Ntu tu, tarehe husika haiko mbali, tumeshauriana vya kutosha. Tuone vitendo sasa, ngonjera hazisaidii sana.
Naona unauzia watu uoga. Ni hivi mbali ya nyie kuwa na silaha za moto, hamna ujanja mwingine nje ya umma. Na ole wenu tupate silaha za moto, itakuwa balaa. Safari hii mnaweza kushinda pambano, ila sio vita. Tutajipanga tena kupata silaha za moto ili tuongee lugha mtakayoilewa,
 
Kama mna mpango wa kutumia silaha wasilianeni na wazungu wenu wawaletee.
 
Back
Top Bottom