Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi"
Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank) hatimaye siku ya leo amebadili dini na kuwa Muislamu.
Hakika ni habari njema sana kwa kuamua kuifata dini ya haki na kufuata njia iliyonyooka.
Pongezi nyingi kwake zimfikie.
Gervonta Davis ana rekodi ya kupambana mapambano 29, 27 ameshinda kwa K.O mawili ameshinda kwa Unanimous Decision (UD) hajawahi kupigwa Wala kutoa sare.
Ikumbukwe hata Devin Haney naye alibadili dini na ni muislamu safi sana na huwa anakwenda kuhiji mara kwa mara.
Devin Haney na Gervonta wapo kwenye mazungumzo huenda mwakani tukaona pambano lao.
Video hii hapa akitamka shahada.