The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Hawabadili hao wanakuwa hawana dini so ktk kuhangaika hangaika kwao wanakutana na watu wanawashawishi.Mtu kubadili Dini ni story? Kanisani kwetu kwa mwezi si chini ya Muslims 4-7 wanajoin Kanisani,na mpaka sasa wanadarasa lao si chini ya 20 wanafundishwa ukristo ni nini,huwa nawashangaa Muslims mtu akijoin kwao inakuwa big story 😀😀
Na black Americans wengi ni wakorofi so wanapenda vile vitu vipo strictly,huwezi mwambia Mmarikan mweusi aged above 12 umwingize ktk Ukristo na habari za kupigwa shavu moja geuza na lingine yeye anataka aambiwe piga risasi ya kichwa na huko wanakoenda ndiyo kwenyewe.